Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Tumeshahama ila airtel nako kuna mabadiliko karibu tutarudia masanduku yetu ya posta
 

Mi nina laini tatu: airtel, tigo na voda, ila voda nilishaiweka kwenye wallet kitambo, huwa naishtua shtua tu. Airtel ndo ya kwanza na tigo ikifuata. Nina mpango wa kwenda Zantel sasa!
 
Last edited by a moderator:
Vodacom is Sooooo F*cked up. Sasa mwendo ni Airtel na Smart. Vodacom wamekuwa Was*nge sana. Naona na ndugu zao tiGo nao washanza kuwa Was*enge vile vile. Bye Bye Vodacom. Mkat*ane wenyewe huko na mitandao yenu ya kifisadi.
 
sio voda tu hata tigo wapuuzi hii ya sasa kweli wamedhamiria mpaka 8MB?
 
Mie nimeachana nao kabisa! Nasubiri kampuni ya taifa ianze mwezi wa nne!
 
Dah Airtel nao washa change bundle zao😈😈😈.....Vifurush vyote vya siku vina MB 10 tu vya wiki MB 70
 
G O O D B Y E E E
VODACOM
KAZI IMEWASHINDAAAAA
Vifushi vya masaa 24 voda kwenda voda
Tsh 150=10 sms
Tsh 500= dk 15+250sms+8mb
Tsh 650= dk 30+300sms+8mb
Tsh 1000= dk 50+300sms+8mb
vodacom kwenda mitandao mingine
Tsh 150= sms 10
Tsh 499= dk 7+300sms+8mb
Tsh 649= dk13 +450sms+8mb
Tsh 999= dk 20+1000sms+8mb
vifurushi vya wiki voda kwenda voda
Tsh 1050= sms 70
Tsh 2000= dk 60+150sms+60mb
Tsh 2800= dk 85+700sms+60mb
Tsh 4000= dk 140+1750 sms+60mb
Tsh 7000= dk 250+2100sms+60mb
Tsh 10000= dk 360+2500sms+60mb
vodacom mitandao yote kwa wiki
Tsh 1050= sms 70
Tsh 1999= dk 29+500sms+6omb
Tsh 3999= dk 49+500sms+60mb
Tsh 4999= dk 91+1000sms+60mb
Tsh 9999= dk 190+1000sms+60mb
WEWE UNAEJIITA MARKETING MANAGER......HUU
SIO UBUNIFU ILA NI UMBUMBUMBU
YOUR FIRED!!!!.......... 👹 📌 🔧
MB 8 ............NAZIPELEKA WAPIIIIIIIII HATA
MUKTASARI WA GAZETI LA MWANASPORT SIPATI......sambaza had ifke voda
 
[h=2]Re: Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)[/h]Huu uzi sijui una maana gani kwetu maana HAWAJIBU LOLOTE
 
[h=2]Re: Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)[/h]Huu uzi sijui una maana gani kwetu maana HAWAJIBU LOLOTE


Huu uzi ni danganya toto...
 
tumieni wenyewe huo mtandao ------- nyie mmeiba hadi mmeanua kuharalisha wizi wenu
 
Katavi

Inabidi kutoa Elimu na kuhamasishana Juu ya huu Udhalimu wa Vodacom.
Mzee naona wengi wameshaanza kuelewa wizi unaofanywa na hawa watu wa makampuni ya simu. Muda si mrefu elimu hii itawafikia wengi...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…