Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Serikali ya wezi ndiyo shidaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel nao wamebadili vifurushi??Hakuna pa kukimbilia, hii ni mitandao yote. Airtel nao wameingia kwenye hii game leo.
Ndo mana Vodacom wanaambia "VODACOM KAZI NI KWAKO"
7¥37¥37¥37¥37¥37¥3
Vodacom katik kusom kote sijaon hat theory moja ya uchumi mliyotumia katka kupanga mgao wa mb na pia hamjaangalia daraja la chini ambalo lilikuwa linategemea 500 siku mbili kwa. Kifurush cha 250. Sasa nyie voda hii tuiteje kutoka mb 100 had 8 au ni persistant fall. Voda fanyen marekebisho bhana ila kama mmeridhka na faid tayar ipo mitandao pia mingine mipya. And kumbuka service yenu ni substitute kwamb ukipandisha bei wanamia kwa mwenzako. Mim ninaz lain 2 za voda ila kwa huu mwendo airtel am coming soon
[h=2]Re: Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)[/h]Huu uzi sijui una maana gani kwetu maana HAWAJIBU LOLOTE
tcra ??????????????!