Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom...

Jana niliweka 2000 jioni ili nijiunge kifurushi cha Wiki .. Ikawa kila nikijarbu naambiwa salio halitoshi... Nilijarbu hadi kifurushi tatizo likawa ni hilo hilo.

Nikaamua kulala ... Leo asubuhi naangalia Salio.. Mmeshalifieka... Mna laana ama???????

Acheni wizi.
 

Mie wameniibia kwa siku 2 sasa salio langu nimekopa 1000 siirudishi kamwe laini yao ntakuwa napokea tu pumbavy sana hawa vodacom
 
Jamani kuna watu wana hela zao acha kabisa. Yaani mkuu mimi nakomaa na jelojelo kumbe kuna watu mna hadi salio la 40 elfu. Aisee ubarikiwe. Sikujua kuwa mtu unaweza kuwa na Salio hadi la 40 elfu.

Hahahaaa Pastor Achachanda! Mbona unajishusha hivyoo? Naamini una afya njema na akili timamu,hivyo vitumie kutafuta hela, Yale maisha bora si kukaa kijiweni tuu na kulalamika. Wengine computer zetu na simu zetu ndo ofisi zetu, hivyo unawekeza huko, kumbuka kanuni ya maisha/mafanikio/biashara usipo tumia nguvu/akili/pesa mafanikio/maisha bora utayaikia. Nakushauriupitie uzi mmoja upo jukwaa la biashara kuna mdau alielezea BUSINESS IDEAS kwa jinsi ulivyo na mazingira yako yanayokuzunguka
 

Mimi wamenipiga tshs 2,943,000 za airtime nilizo accummulate kwa ajili ya severs za project ya mtandao wangu. Nimefungua kesi High Court na nimewaunganisha na TCRA mwenye tatizo ani pm nimuunganishe katika kesi yangu ya madai n0. 18/2015. Damages za breach of contract na projects stalled in billions zitawatoa jasho; hakuna mzaha na matapeli, wezi wakubwa
 
Wangekuwa waungwana hata kidogo basi hata wangetangaza mabadiliko ya viwango katika mawasiliano. Mbn ewura wanatangaza na sababu ya hayo mabadiliko? Huu siyo uungwana hata kidogo. Mnawafanya wateja wenu kama vile ni wajinga na hivyo hakuna haja ya kutoa taarifa? Manager wa masoko nikushauri tu pamoja na kuwa nimeshaikimbia voda, kwamba huo siyo ujanja na wala siyo ubunifu katika biashara. Biashara yoyote lazima iwe na effective communication kati ya provider na mtumiaji. Mnashindwa kutoa taarifa ya mabadiliko kwa wateja then unategemea watu wafurahie huduma? Hata kama ulishateka soko na ukaridhika na kiwango cha market share but siyo hivi. You have to remember that is very easy to lose a customer than to gain customer. Nakuhakikishia nitapiga campaign kwa Wamasai woote Tanzania hii wahame voda maana huu ni upuuzi kabisa. Just wait and see. Kwa leo nimefanikisha kwa watu 25 wametupa laini zenu. Airtel mtukaribishe kwa mikono miwili.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Na hii tabia ya recycling Sim cards inaboa mtu unasajili kwa jina lako usajili ukikamilika jina limebadilika limerudi la mmiliki wa zamani.this is bs.
 
Mashart ya kurenew namba yapunguzwe vodacom .na gharama za kurenew namba miatano kama Tigo.mfano voda ni 1000/= punguzeni hiyo bei ya kuchonga namba.
 
Mkuu kwa data pia inawezekana kabsa, mimi nilishawahi kwenda wakanionesha kwenye computer zao matumizi yangu, ila ndo hivyo ukikutana na KILAZA ndo basi tena

Asante mkuu kwa taarifa siku moja nitajichanganya kwenye ofisi zao wanipatie. Shida itakuja kama ulivyosema nikikutana na Kilaza
 
Vodacom mwaka uhu kwenu washetani tunawahama cheka 500 dk15 mb8 airter mitandao yote dk11 mb 125 kwa sh500
 
Wale wa voda nani anaejua kujiunga na supacheka ni bei nafuu zaid ila kujiunga ndo ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…