Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

BEI MPYA - -AIRTEL INTERNET BUNDLES;
1) Kifurushi cha siku(25hrs):
50MB - 150Tshs
300MB - 500Tshs
1.2GB - 1,000Tshs
2)-Kifurushi cha Wiki (7days):
800MB - 1,000Tshs
2.5GB - 3,000Tshs
6GB - 6,000Tshs
3)-Kifurushi cha Mwezi (30days):
3GB - 12,500Tshs
10GB - 20,000Tshs
20GB - 30,000
BEI HIZO NDIO NAFUU NA NDOGO KULIKO MTANDAO WOWOTE KU BROWSE INTERNET SEHEMU YOYOTE.
Wajulishe ndugu wote jamaa na marafiki
 
BEI MPYA - -AIRTEL INTERNET BUNDLES;
1) Kifurushi cha siku(25hrs):
50MB - 150Tshs
300MB - 500Tshs
1.2GB - 1,000Tshs
2)-Kifurushi cha Wiki (7days):
800MB - 1,000Tshs
2.5GB - 3,000Tshs
6GB - 6,000Tshs
3)-Kifurushi cha Mwezi (30days):
3GB - 12,500Tshs
10GB - 20,000Tshs
20GB - 30,000
BEI HIZO NDIO NAFUU NA NDOGO KULIKO MTANDAO WOWOTE KU BROWSE INTERNET SEHEMU YOYOTE.
Wajulishe ndugu wote jamaa na marafiki

Vodacom vipi mbona huwa naona kama mko organised? Thread mmeanzisha wenyewe lakini mko kimya kama maji mtungini!

Biashara ya mshindani Wenu inatangazwa na Sisi tunachangamkia!

By the way kuna sehemu moja inaitwa MASAKI ambayo iko ktk wilaya ya Kisarawe. Kwa kijijini ni business centre. Pale kuna AIRTEL na TIGO tu VODACOM hakuna. Binafsi nilifanya juhudi kuwajulisha ili muweke mnara hapo lakini mmetia pamba sikioni. Shauri lenu mtapata shida kuingia kwani wenzenu waliishazijatiti.

Note: Masaki ni junction ya njia 2 moja toka Chanika na nyingine toka Kisarawe mjini. In fact kuna junction mbili pale yaani barabara 2 Za Chanika. Why don't you like the presence?
 
BEI MPYA - -AIRTEL INTERNET BUNDLES;
1) Kifurushi cha siku(25hrs):
50MB - 150Tshs
300MB - 500Tshs
1.2GB - 1,000Tshs
2)-Kifurushi cha Wiki (7days):
800MB - 1,000Tshs
2.5GB - 3,000Tshs
6GB - 6,000Tshs
3)-Kifurushi cha Mwezi (30days):
3GB - 12,500Tshs
10GB - 20,000Tshs
20GB - 30,000
BEI HIZO NDIO NAFUU NA NDOGO KULIKO MTANDAO WOWOTE KU BROWSE INTERNET SEHEMU YOYOTE.
Wajulishe ndugu wote jamaa na marafiki

Nimeamua kutupa line ya hawa wezi voda chooni
 
Voda wezi kila idara hata kwenye MPESA wana makato makubwa ukilinganisha n wengine
 
Vodacom fungasheni virago muondoke tz. Tumechoka wizi wenu ......yo zenu leo nimeweka 500 yangu mnajifanya mmeniunganisha na bonga mmeniibia kabla hamjaenda kwenu nitakuwa nimetupa laini.hamna hata huruma.wenzenu wanatoa mb. 125 dk 15 mitandao yote nyie mnatoa mb. 8. Nimewatembelea leo kwa kuwa intanet ya airtel ina shida leo.hamtanioooona.heri niwasavahi tigo nyieee
....mfyuuuuu!
 
Kwanini mnakomaa kubaki vodacom?
Kila siku mnalalama kuibiwa na gharama kupanda!!
Infact voda ni wezi wakubwa tu tena waepukeni hivi watauzaje 8mb kwa Tsh 1,000??
 
Kweli kaka waende zao wamekwshavuna vya kutosha. Yaani wakat gharama za umeme na mafuta zinashuka et wao ndo kwaanza wanajifanya kupandsha mabei. Alafu wote na tgo hata net zao zenyewe 1mb kuidownload n mtihan unanua MB100 unanufaika na MB20 tu alafu muda wako umekwsha. Huduma yao ya Mpesa ukichukua hela nmb kuzpata hadi siku nzma au had ulalamike du! Dis is too shame! Au ndyo kampen nn za uchaguz watu wasihamasishane?
 
vifurushi vyenu vya muda wa maongezi na internet vinaisha hata kama hujatumia na muda unakuwa haujaisha. Pia kwa bei zenu za sasa,mnatuibia wateja. Kama hamtashusha,tunatupa line zenu kwani mnapandisha wakati gharama za umeme na mafuta zimeshuka? Tumechoka ni huu wizi wenu. Iko wapi faida ya soko huria kama mnapanga bei kwa makubaliano? Serikali inapaswa iwafungie leseni zenu,kwan hamna maana mbele ya jamii ya kitanzania.
 
shindano lenu la jaymillions wizi mtupu. mnakata 900tsh. zetu per day hakuna chochote, ata muda wa maongezi mnashindwa kutoa! mtu anashiriki toka mwanzo wa shindano hadi leo ata kushinda muda wa maongezi hakuna?! hamnipati tena! naamia airtel, thanks AIRTEL
 
Huu wizi si mzuri kabisa, jana simu yangu ilibaki 9MB hazishuki na siwezi kujiunga na kifurushi kwasababu bado nina 9mb,
na hapo hapo walikuba 9000 yang wa muda a dakika moja na ndio ushituka nikachomoa line. na kuweka nyingine ili niweze pata mawasiliano, mpaka sasa sijapata majibu.na sio mara ya kwanza. I hate this.
 
Matatizo ya Vodacom ni mengi siku hizi.
1. Tunaona mawasiliano yanakatika katikati ya mazungumzo siku hizi, labda kwa sababu ubora wa signal umeshuka, au labda wateja wameongezeka bila kuongeza uwezo wa mtandao?!?!
2. Kama hauko kwenye bundle elfu tano inatumika kwa spidi ya mwanga!!
3. Hata ukiwa kwenye bundle spidi ya ku-surf ni ya kinyonga, inachosha!

Vodacom walikuwa ndiwo mtandao wa uhakika (premium) lakini sasa naona hakuna tena hiyo tofauti!

Nyongeza
Nashawishika kusema kwamba matatizo haya yameongezeka baada ya mabadiliko ya uongozi wa juu ambao nafikiri unalenga ku-maximize profits bila kujali ubora wa huduma. Ni tatizo la kutaka faida leo bila kujali kesho. Niwahakikishie Vodacom kwamba hawa wanaolalamika humu kwenye Uzi huu ni wachache sana, wengi hawasemi lakini wanasubiri kuhama.
 
Wameanzisha thread lakini wameweka pamba masikioni,hakuna haja ya kushindana nao,dawa ni kuachana nao,hata tairi la gari likiwa na slow pancha inachukuwa muda lakini mwisho tairi linakuwa flat.Mimi sithubutu kuacha salio kwenye simu bila kujiunga,hutalikuta,kwa kweli nimekuwa na hii laini yao zaidi ya miaka 10 sasa,naona uzalendo umenishinda,naachana nao.
 
Bado wakati nni mgumu saana kwa maadimin
 

Attachments

  • 1424367653483.jpg
    1424367653483.jpg
    26.1 KB · Views: 209
oya nyie wezi wakubwa, sana nimewachoka, kesho naenda kusajiri line mpya ya airtel
 
Back
Top Bottom