Vodacom kama mlivyosema kazi ni kwetu kweli tumeiona. Yaani kwa ufupi mnazingua sana. Ila nadhani mmekuwa na wateja wengi.
Nipo Saut mwanza kila siku najiunga university promotion eti nipo nje ya eneo la chuo.
Mnanikera basi mfanye specification kuwa twende academic block ndo chuo.
For sure nilikuwa sina mpango wa kuwahama taratibu am about. Kwanza Tigo 350 tu MB za kutosha.
Kwa muda mchache kaxi itakuwa kwenu.
Japo hamjibu ila ujumbe mnaupata.