Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom kama mlivyosema kazi ni kwetu kweli tumeiona. Yaani kwa ufupi mnazingua sana. Ila nadhani mmekuwa na wateja wengi.
Nipo Saut mwanza kila siku najiunga university promotion eti nipo nje ya eneo la chuo.
Mnanikera basi mfanye specification kuwa twende academic block ndo chuo.
For sure nilikuwa sina mpango wa kuwahama taratibu am about. Kwanza Tigo 350 tu MB za kutosha.
Kwa muda mchache kaxi itakuwa kwenu.
Japo hamjibu ila ujumbe mnaupata.
 
Hivi hizi million mia za January na James rugemalila. a.k.a Jay millions zipo kweli ? . mbona kama taarifa zimekuwa ndogo sana za washindi. Toka shindano limeanza hadi Leo hii .list inaweza kuwekwa hapa. Tuanze na mmoja wa 100m. , kumi wa 10m, na mia wa 1m. Maana siamini nahisi kama ni danganya toto

Voda ni wezi unaambiwa kila siku lakini hatuwaoni wala kuwasikia voda wanaibia watu kweupe na TCRA na bodi ya michezo ya bahati nasibu wanaangalia tu
 
Voda mnakera sana juzi nilijisahau kuzima data kama lisaa limoja nikaja kuuliza salio nilikuwa na 105,000 tsh lakini nilipokuja kuuliza nikakuta imebaki 57,000 tsh...nmechukia sana
Nawakubali sana kwa spidi yenu but hapo mmeniboa sana hebu angalieni utaratibu Wa kurekebisha hiyo kitu.
 
Voda mnakera sana juzi nilijisahau kuzima data kama lisaa limoja nikaja kuuliza salio nilikuwa na 105,000 tsh lakini nilipokuja kuuliza nikakuta imebaki 57,000 tsh...nmechukia sana
Nawakubali sana kwa spidi yenu but hapo mmeniboa sana hebu angalieni utaratibu Wa kurekebisha hiyo kitu.


Unauza Voda Rusha ama???

Salio lote hilo ni sifa ama???
 
nyie voda mnaendesha kamari za kiharamu shinda jay huo ni wizi
 
Wiki ya pili sasa sijarudishiwa pesa yangu, napigwa tu maelezo na customer care ya voda com, inaonyesha wazi kuwa mawasiliano baina yao na kampuni wanazofanya nazo biashara kama fastjet nk kuna shida kubwa!! Manake wenyewe wanalalamika kuwa e mail zao hazijibiwi, sasa sijui sisi wateja tutasema nini? Kiukweli huduma yenu inawapunguzia heshima hasa pale mnapoahidi baada ya kipindi fulani mnashughulikia tatizo, na isiwe hivyo!!! Tunatambua kuwa ni kampuni kubwa ya mawasiliano yenye ubunifu wa bidhaa zake, lakini hapa kwenye refund kuna shida mno!! Yawezekana pia kuwa pesa hizo huwa zinaingia kwenye mizunguko ya kibiashara kwanza ili zileta faida ndipo zirejeshwe kwa mhusika. Nirudishieni hela yangu tafadhari nimechoka kusubiri
 
Sio Mpenzi Sana Wa Mtandao Huu Wa Voda Na Hapo Mwanzo Kilichonifanya Ni'Opt Tigo Kwa Sababu Tuu Restrictions Zenu Zilikuwa Zikinikera...

Mfano: Utakuta Mtu Ananipigia Kutoka Simu Yake Kuja Kwangu Lakini Hujibiwa Nothing Na Uku Kwangu Simu Haitotoa Mlio (hutokea hasa wateja wa mitandao tofauti walipokua wananipigia).

Kingine Ni Ujumbe Mfupi Wa Maandishi, SMS Kwenye Simu Yangu Zilikua Hazifik Kwa Wakat, Mtu Anantumia Leo MSG Mim Napokea Kesho,

Kwa Kweli Ilinilazimu Kuuhamaa Mtandao Wenu

Sasa Nimerudi Kama Mwaka Mmoja Uliopita Na Sababu Kuu Ikiwa Ni Internet, Nimefurahishwa Na Bundle Zenu Na Mim Ni Mpenzi Sana Wa Kifurushi Cha Uhuru, Haipiti Siku Bila Kujiunga..

Lakini Tunapokwenda Nitaanza Sasa Kukimbilia Airtel Hata Kwnye Internet Pia, Kwa Sababu Zifuatazo;-
1. Kuna Siku Niliweka Credit Nikawa Naambiwa Kuna Tatizo La Internet Nijaribu Badae, Nikaiacha Umo Pesa Yangu Na Nikazima Simu, Kesho Nakuja Kuwasha Mlikwangua Kama Tsh 500/=
2. Iyo Pesa Ni Kidogo Sana Haikuweza Kunifanya Nipoteze Pesa Nyingi Kuwafata Customer Care Kuwalalmikia, Lakini Sasa Huo Mchezo Umezidi Na Wiki Iliyopita Niliwapigia Simu Lakini Bado, Tafadhal Jirekebishen Kwani Sasa Hivi Wananchi Tunataka Kuchukua Maamuz Magumu.
 
Voda cjui mnataka kwenda mbele kibiashara au mnataka kurundi nyuma kibiashara make tayari umesha kua ugojwa wa macho
 
Hapana sio kwamba sifa nawekaga kwa mwezi laki moja....ili nisisumbuke kuweka vocha kila Mara na hii yote kwasababu ya nature ya kazi yangu...very bize

Kwanini usingekua unaweka mpesa mkuu!! Sasa hapo wamekupiga 50 na zaidi!!! Na hapo ujue ukieka vocha bila bandle wanakuibia tena...ni vyema ukaeka mpesa then ukitaka vocha unachukua salio mpesa then unajiunga!!
 
Mie nina huduma ya Vodajaza ambayo nalipia kwa freelance wangu na hata kama ikiisha namtaarifu zen ananijazia but ninalipia kwa mwezi...it is like postpaid service.....

Kuhusu kutumia mpesa niliwai kufanya b4 but nikaona ni njia ambayo sikuifurahia due to nature of work.

Zen sio case sana i was just making a reference of my malalamiko to that tatizo ambalo voda wanalo na linatucost wateja wao.

Cc LORDVILLE
 
Last edited by a moderator:
Voda mmekuwa wababaishaji sana toka Leo asubuh huku sngrma mawasiliano ni shida mna mpango mvunje ndoa zetu eti
 
Hapana sio kwamba sifa nawekaga kwa mwezi laki moja....ili nisisumbuke kuweka vocha kila Mara na hii yote kwasababu ya nature ya kazi yangu...very bize
Niliacha huu mtindo siku nimepoteza simu na salio linalozidi gharama ya simu! Tangu iingie sim banking sina tena hiyo sababu... ugomvi wangu ilikuwa kukwangua vocha, basi!
 
Vodacom Tanzania,

I am very disappointed by your internet services for a couple of weeks now! Mna tatizo gani kwenye internet? Can you let your customers know what's going on? Just imagine, mtu unanunua bundle ya mwezi mzima lakini kila wakati unalazimika kubadilisha modem na kutumia za mitandao mingine wakati tayari ulishaingia gharama za kununua monthly bundle? Tatizo ni nini hasa? Kwa staili hii, kuna uwezekano mkubwa mtu unanunua bundle halafu unatumia chini ya nusu ya muda wake... kila wakati signals zinashuka na hatimae kukata kabisa and thus no internet services at all! Can you tell me what's going on outta there?
 
Last edited by a moderator:
Vodacom Tanzania, I want the answer coz' this's too much! Ni upumbavu huu mtu umenunua bundle ya mwezi mzima halafu bado unalazimika kununua bundle za mitandao mingine kwavile hakuna connectivity kutoka kwenye mtandao wenu! Nimetoa above claims six hours earlier but still no response! Sasa ulikuja JF kufanya nini ikiwa huwezi ku-handle customer complaints?
 
Last edited by a moderator:
M nshahamia nyumba kubwa, hawa nmeona ni jamii ya panya rd, kwa her voda....
Mmeniibia mda mrefu sasa basi..
Nnawatu kama 5 hvi nao watahama soon, na nna kampan kufuka uchaguzi mtabaki wafanyakazi tuuu.
 
Back
Top Bottom