Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
voda ni kiboko kwa madharau aisee malalamiko yote haya ya wateja wamepiga kimyaaaa wanacheka tu, airtel baba lao
Vyema zaidi kutokukata tamaa...komaa nao
Nimetuma hela kwa mpesa ni wiki sasa pesa haijafika na hakuna msaada wowote kutoka Vodacom, kesho natupa sim kadi yao.
tumia namba hii 15366 fuata maelekezo umeelewa eeeh
Usitupe hiyo SMI card. Nipe mimi na hela nitakupa
Waandikie wamo humu Vodacom TanzaniaNimetuma hela kwa mpesa ni wiki sasa pesa haijafika na hakuna msaada wowote kutoka Vodacom, kesho natupa sim kadi yao.