Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hahaa, mimi mwenyewe wameniboa kweli, hapa najipanga nihame, hawa jamaa wamezidi kutufanya mazuzu
 
Achana nao.

Natoa wito kwa serikali kuiimarisha TTCL japo watupe unafuu wananchi wake.
 
Nunua vocha za airtel zile za 1500 unapata dakika 145 gb 1 sms bila kikomo atlist ndo bando zuri la wiki
 
yani kifurushi kilichokuwa kinauzwa 1000 chenye mb 200 kwa wiki voda hakipo tena..eti kinauzwa shilingi 3000 kwa 4000..cijui lengo lao ni nini..
Artel nao wamepandisha bei za vifurushi..jamani hii ni kutuumiza
Bado unajadili voda?
Voda kazi yao saa hiz ni m pesa na m pawa wateja wa bando na muda wa hewani mnalazimisha tu, voda walishavuka hiyo lenk
 
yani kifurushi kilichokuwa kinauzwa 1000 chenye mb 200 kwa wiki voda hakipo tena..eti kinauzwa shilingi 3000 kwa 4000..cijui lengo lao ni nini..
Artel nao wamepandisha bei za vifurushi..jamani hii ni kutuumiza
Voda sio baba/mama karibu halotel,voda watumie kwa M-pesa na M-pawa
 
Nunua vocha za airtel zile za 1500 unapata dakika 145 gb 1 sms bila kikomo atlist ndo bando zuri la wiki
Hivi hizo hapa Dsm nazipata wapi?Kifurushi cha Voda cha elfu 5 kwa wiki bure kabisa.
Natumia kwa siku 3 tu!
Wakati Airtel nilikuwa najiunga hicho nadunda hadi wiki na zinabaki mb 600!
 
yani kifurushi kilichokuwa kinauzwa 1000 chenye mb 200 kwa wiki voda hakipo tena..eti kinauzwa shilingi 3000 kwa 4000..cijui lengo lao ni nini..
Artel nao wamepandisha bei za vifurushi..jamani hii ni kutuumiza
hapa kazi tuuuuuuuuuuuu! CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Hivi hizo hapa Dsm nazipata wapi?Kifurushi cha Voda cha elfu 5 kwa wiki bure kabisa.
Natumia kwa siku 3 tu!
Wakati Airtel nilikuwa najiunga hicho nadunda hadi wiki na zinabaki mb 600!
Zinapatokana kwenye ofisi zao au kwenye m pesa zile kubwa hizi vocha ni nzuri sana
 
hivi halotel hamuijui jaman heb mkuje kwa halotek mjionee uhondo
 
TUNAOMBA UFAFANUZI KUHUSU BEI ZENU ZA 'DATA', YAANI:

1) MNANUNUAJE
2) GHARAMA ZENU
3) FAIDA
4) USHURU

MAANA KWAKWELI WENYE NYUMBA SASA MMEKUWA KERO, MKITAKA NYAMA TUWACHANGIE WAPANGAJI.......... MKITAKA KUTOKA 'OUT' --WAPANGAJI! .......................................................................................
...............................................! .............!........................!

YAANI 😎😎😱😳😕🙁😡😡😡😡!
 
Ninyi hamjasikia mapato ya serikali toka kwenye mitandao ya simu yameongezeka mara tano?
 
Back
Top Bottom