Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Account ya mpesa ishafungwa hapo .. Mpanka mpunga utaporudisha kwa mwenyewe.. ' Ushaur tumia laini nyingine kuwasiliana na huduma kwa watejaMimi wameniingizia elfu 50 kwa mpesa tangu j2. Imeonekana imeingia kutoka NMB (kwa mujibu wa sms waliyonitumia). Tangia hapo kila nikitaka kutumia huduma za mpesa naambiwa akaunti yako imefungwa. Nikitaka kuongea na huduma kwa wateja simu inakatwa pale inapofikia stage ya kuongea na mtoa huduma kwa wateja.
Wanakera sana hawa.
Mwenyewe nilishaachana na vodacom eti nimenunua data gb1 inaisha ndani ya nusu saa wakati awali ilikuwa inakaa sio chini ya siku 5, nikawapigia simu wakaishia kunipa story zisizo na facts, nikahamia Halotel nadunda tu.Nilikuwa natumia voda kwa net. cha kushangaza nanunua bando na pesa inakatwa afu service sipati. hao customer care kuwapata ni mziki mnene nikaamua kujiweka mbali nao.
Voda hawapo serious kabsa,hili suala nilijuaga ni kwangu tu nimewapigia mara tatu sasa the problem is still there,nlichokifanya line yao nimeiweka pending ,,sijui wamezidiwa na wateja au wazoea kazi watakula jeuri yaohv hili swala mnalichukuliaje yani unatuma meseji{sms]sasa hivi mpokeaji anakuja kupokea baada ya masaa matano na ukicheki meseji setting ipo maximum aise hili swala lina boyaaa
usajili ndo tatizo langu....namba yangu ni 0762099513 imesajiliwa kama chakupewa kasingo badala ya chakupewa kansigo..hili jina sijui kwanini mnapenda kulikosea......Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Mtatoa lini modemu zenu za 4g?Ndugu mteja,