Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Me hawa jamaa waliniibia pesa mpk leo sina ham nao kbsa yaaan alafu inshort ninahasir na nyiny bas tu
 
Mimi wameniingizia elfu 50 kwa mpesa tangu j2. Imeonekana imeingia kutoka NMB (kwa mujibu wa sms waliyonitumia). Tangia hapo kila nikitaka kutumia huduma za mpesa naambiwa akaunti yako imefungwa. Nikitaka kuongea na huduma kwa wateja simu inakatwa pale inapofikia stage ya kuongea na mtoa huduma kwa wateja.

Wanakera sana hawa.
Account ya mpesa ishafungwa hapo .. Mpanka mpunga utaporudisha kwa mwenyewe.. ' Ushaur tumia laini nyingine kuwasiliana na huduma kwa wateja
 
Voda Kuna tatizo la SMS kwenye simu yangu, yaani msg hazifiki kwa wakati na. Unaweza ukakuta msg inaingia Leo asubuhi wakati Ni ya Jana mchana!
Hili tatizo Ni la mda mrefu, toka mwezi WA 6 nlikuwa Dar na sahv Nipo Dodoma.
Simu yangu inatumia line 2, line ya pili haina shida kabisa ndo maana nikajua Ni tatizo la kwenu
 
hv hili swala mnalichukuliaje yani unatuma meseji{sms]sasa hivi mpokeaji anakuja kupokea baada ya masaa matano na ukicheki meseji setting ipo maximum aise hili swala lina boyaaa
 
Nilikuwa natumia voda kwa net. cha kushangaza nanunua bando na pesa inakatwa afu service sipati. hao customer care kuwapata ni mziki mnene nikaamua kujiweka mbali nao.
Mwenyewe nilishaachana na vodacom eti nimenunua data gb1 inaisha ndani ya nusu saa wakati awali ilikuwa inakaa sio chini ya siku 5, nikawapigia simu wakaishia kunipa story zisizo na facts, nikahamia Halotel nadunda tu.
 
hv hili swala mnalichukuliaje yani unatuma meseji{sms]sasa hivi mpokeaji anakuja kupokea baada ya masaa matano na ukicheki meseji setting ipo maximum aise hili swala lina boyaaa
Voda hawapo serious kabsa,hili suala nilijuaga ni kwangu tu nimewapigia mara tatu sasa the problem is still there,nlichokifanya line yao nimeiweka pending ,,sijui wamezidiwa na wateja au wazoea kazi watakula jeuri yao
 
Hivi kwanini Vodacom msimuige hata Halotel huduma yake ilivyo bora kuanzia bando zake mpaka speed ya internet inchi mzima? Mnajua kuwa 4g yenu ina speed sawa na 3g ya Hallotel?
 
It's so sad i reported a querry through your call center on internet challenge since 16th september but to date no action taken regardless of several calls to remind.

I would appreciate if you will consider TAT on your customer querries and resolve them timely.
My numbers are 0767482177
 
he Niki swap line inaanza kufanya kazi ndan ya muda gan
 
Nliliswap mamba yangu kwend 4g Jana mchana pale mobile plaza lakini mpaka sasa haijarudi hewani Massa zaidi ya 24 baadaye. Naombeni msaada kuirudisha simu yangu hewani
 
Ni kweli vodacom wanaboa, kuna wizi wa waziwazi tunahamia halotel ni rahisi, ni takribani mwezi sana napokea msg za kuwa nimechaguliwa kwa kwa droo ya wiki hii! Wiki yenyewe haifiki!
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
usajili ndo tatizo langu....namba yangu ni 0762099513 imesajiliwa kama chakupewa kasingo badala ya chakupewa kansigo..hili jina sijui kwanini mnapenda kulikosea......
 
Naomba setting za internet zitumwe kwa simu husika pindi ukiswap ama kununua simu mpya wahudumu wenu wanakariri setting wakati vitu vingine kwenye simu havimo hadi sasa hata mpira sijaweza kuangalia
 
Lingine rekebisheni internet bundle wenzenu Halotel wako vizuri sana hakuna buffering
 
Mimi Kama Mteja Wenu NimeRecieve Huu Ujumbe

Je Ni Kweli?

*M_PESA ALERT*

There are some hackers at work withdrawing money from ~M_PESA_ACCOUNT~ Without the account owner's permission or approval.
They will send you a message of this nature

*"Hello Dear Customer VODACOM Congrat's you For Wining Tshs1,000,000 and Toshiba Laptop On M_Pesa Promo And Your Code (503) AND (3030). Please Call 0752919578"*

If you receive this message please don't respond to it.

*Note*
[emoji117] When you call them or they call you, they will ask you to dial *117#, after which they will ask you to check your M_PESA account balance.

[emoji117] What happen is after you check your M_PESA account balance with your pin code they will capture it and hence forth monitoring your account balance in other to make withdrawals without your knowledge.

Don't allow yourself to be deceived. Save somebody's money and life by sharing this message with your contacts.

Source ;
*David M.R,*
*VODACOM OFFICE*
*DAR ES SALAAM_TANZANIA*
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Mtatoa lini modemu zenu za 4g?
 
Heshima kwenu vodacom. Naomba msaada wenu, juzi kati hapa nilienda kutoa hela kwa wakala, bahati mbaya nikawa nimekosea namba moja hivyo ile hela ikatoka kwa wakala mwingine. Pale pale nikapiga simu (M-pesa kitengo cha huduma kwa mteja) wakaniambia watalishughulikia na baada ya siku saba nitapata hela yangu. Baada ya siku saba sikuona pesa imerudi na nilivyowasiliana nao (vodacom M-pesa) wananambia yule wakala keshatoa hela. Navyojua, wakala yoyote wa M-pesa ni close partner na vodacom, hivyo hamuwezi kushindwa kurudisha au kumsaidia mteja juu ya issue ka hii. Naomba msaada wenu.
 
VodacomTanzania Nilitoa pesa 150k kimakosa kutoka 0742888873 kwa wakala no 6316 badala ya 63316 tarehe 16/9/2016 naomba msaada wenu wakuu.QUOTE="Chamwino, post: 17858077, member: 378554"]Heshima kwenu vodacom. Naomba msaada wenu, juzi kati hapa nilienda kutoa hela kwa wakala, bahati mbaya nikawa nimekosea namba moja hivyo ile hela ikatoka kwa wakala mwingine. Pale pale nikapiga simu (M-pesa kitengo cha huduma kwa mteja) wakaniambia watalishughulikia na baada ya siku saba nitapata hela yangu. Baada ya siku saba sikuona pesa imerudi na nilivyowasiliana nao (vodacom M-pesa) wananambia yule wakala keshatoa hela. Navyojua, wakala yoyote wa M-pesa ni close partner na vodacom, hivyo hamuwezi kushindwa kurudisha au kumsaidia mteja juu ya issue ka hii. Naomba msaada wenu.[/QUOTE]
 
@VodacomTanzania Nilitoa pesa 150k kimakosa kutoka 0742888873 kwa wakala no 6316 badala ya 63316 tarehe 16/9/2016 naomba msaada wenu wakuu.="Vodacom Tanzania, post: 8103345, member: 163551"]Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom