KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Hata ukihama ni yale yale tu. Eti Tanzania ya viwanda inakuja. Khabithil amalHahaa, mimi mwenyewe wameniboa kweli, hapa najipanga nihame, hawa jamaa wamezidi kutufanya mazuzu
Umeniwahi mkuu nilitaka kumwambia hivyo hivyoKwa sbb makampuni hayo yameanza kulipa kodi!
Karibu haloteli
Bado unajadili voda?yani kifurushi kilichokuwa kinauzwa 1000 chenye mb 200 kwa wiki voda hakipo tena..eti kinauzwa shilingi 3000 kwa 4000..cijui lengo lao ni nini..
Artel nao wamepandisha bei za vifurushi..jamani hii ni kutuumiza
Voda sio baba/mama karibu halotel,voda watumie kwa M-pesa na M-pawayani kifurushi kilichokuwa kinauzwa 1000 chenye mb 200 kwa wiki voda hakipo tena..eti kinauzwa shilingi 3000 kwa 4000..cijui lengo lao ni nini..
Artel nao wamepandisha bei za vifurushi..jamani hii ni kutuumiza
Wao hawalipi kodi?!Kwa sbb makampuni hayo yameanza kulipa kodi!
Karibu haloteli
Huu ndio unaoitwa uchochezi...hujui kama wapo kwenye majaribio?Wao hawalipi kodi?!
Hivi hizo hapa Dsm nazipata wapi?Kifurushi cha Voda cha elfu 5 kwa wiki bure kabisa.Nunua vocha za airtel zile za 1500 unapata dakika 145 gb 1 sms bila kikomo atlist ndo bando zuri la wiki
hapa kazi tuuuuuuuuuuuu! CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!yani kifurushi kilichokuwa kinauzwa 1000 chenye mb 200 kwa wiki voda hakipo tena..eti kinauzwa shilingi 3000 kwa 4000..cijui lengo lao ni nini..
Artel nao wamepandisha bei za vifurushi..jamani hii ni kutuumiza
Zinapatokana kwenye ofisi zao au kwenye m pesa zile kubwa hizi vocha ni nzuri sanaHivi hizo hapa Dsm nazipata wapi?Kifurushi cha Voda cha elfu 5 kwa wiki bure kabisa.
Natumia kwa siku 3 tu!
Wakati Airtel nilikuwa najiunga hicho nadunda hadi wiki na zinabaki mb 600!
Imeanza na air Tanzania(ATC)Achana nao.
Natoa wito kwa serikali kuiimarisha TTCL japo watupe unafuu wananchi wake.
Tunaoishi kama shetani hatutumii huo usafiri ndg yangu. Sisi tukiula sana ni semi-laxury.Imeanza na air Tanzania(ATC)