Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Naona hata Halotel pia wamepunguza MB's from 250 mpaka 200 kwa shs. 499
 
Airtel mko wapi ? Boresheni intranet zenu tuachane na huu mtandao wa mabepali
 
Vodacom ni wasenge kulko mitandao mingine hata ukiunga wanakula mb kma andazi
 
Mimi tarehe 04/01/2017 nilinunua salio la MPESA na kujiunga na bundle ya mwezi ya T.shs, 30,000/= ambayo ni 10GB kwa mwezi lakini bundle hiyo haikuwa updated kwenye akaunti yangu. kwakuwa nilinunua bundle hiyo kupitia MPESA moja kwa moja badala ya kununua salio kwanza, nilijaribu kuwapigia huduma kwa wateja (upande wa huduma za MPESA) mara tatu lakini mara zote walinijibu wanafanyia kazi na nitapata majibu ndani ya masaa 24. mpaka hapa ninapoandika ujumbe huu sijapata majibu toka vodacom. naomba kama inawezekana jambo hilo lipatiwe ufumbuzi.

Pia, huduma zenu za 4G ni nzuri sana lakini kwa bahati mbaya zinapatikana Dar es salaam tu. hii hupelekea sisi tunaosafiri mara kwa mara kukosa huduma hii tukiwa nje ya Dar.

naomba kuwasilisha
 
Mmepunguza tena bando za internet.punguzeni hadi ifike moja.tutawaachia kumtandao chenu
 
Naona hata Halotel pia wamepunguza MB's from 250 mpaka 200 kwa shs. 499
Mm mshangao wangu ni pale wanapopunguza wote kwa wakati mmoja.wapuuzi wanakaa pamoja wanapanga kutunyonya shenz kabisa ushindani uko wapi??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…