Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Yale mnayosifiwa ndio mnakuja kuyajibu,Ahsante kwa kuchagua Vodacom Tanzania.
Yale mnayolalamikiwa mnapiga kimya, acheni hizo nyinyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale mnayosifiwa ndio mnakuja kuyajibu,Ahsante kwa kuchagua Vodacom Tanzania.
Mimi tarehe 04/01/2017 nilinunua salio la MPESA na kujiunga na bundle ya mwezi ya T.shs, 30,000/= ambayo ni 10GB kwa mwezi lakini bundle hiyo haikuwa updated kwenye akaunti yangu. kwakuwa nilinunua bundle hiyo kupitia MPESA moja kwa moja badala ya kununua salio kwanza, nilijaribu kuwapigia huduma kwa wateja (upande wa huduma za MPESA) mara tatu lakini mara zote walinijibu wanafanyia kazi na nitapata majibu ndani ya masaa 24. mpaka hapa ninapoandika ujumbe huu sijapata majibu toka vodacom. naomba kama inawezekana jambo hilo lipatiwe ufumbuzi.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Mm mshangao wangu ni pale wanapopunguza wote kwa wakati mmoja.wapuuzi wanakaa pamoja wanapanga kutunyonya shenz kabisa ushindani uko wapi??????Naona hata Halotel pia wamepunguza MB's from 250 mpaka 200 kwa shs. 499