Masanyiwa Mabula
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 954
- 983
Kitengo chenu cha huduma kwa wateja siku ya terehe 9/3/2017 ilikuwa mbovu kuliko maelezo. [HASHTAG]#100[/HASHTAG] ilikuwa ukipiga inaita tu bila kupokelewa, hii ni mbaya sana. Mfano nilikuwa na tatizo la M-PESA nikashindwa kusaidiwa hakuna mpokea simu. Hadi alfajili ya leo saa 11 nilipojaribu ndio nikafanikiwa. Mkiendelea hivi mnajiweka kwenye hali tata maana kwasasa same namba mitandao yote nothing to worry about.. Mjiongeza!Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Ndugu mteja,

Kimfano ukahamia tigo kwenye halichachi au Airtel - haupimiwi utajisikiaje? [emoji23] [emoji23] [emoji23]KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Limited, hiki mnachokifanya ni wizi na unyang'anyi kama ulivyo ukabaji, kuvunja nyumba ya mtu na kumuibia au kumpora Mali yake kwa nguvu na hata kumjeruhi au kumuua. Kinachotia hasira na hasara zaidi ni kuona TCRA wanajua wizi na utapeli huu lakini wakijifanya kutoona au haiwahusu. Wanashiriki wizi na utapeli huu wa VODACOM. Shame indeed!
Iko hivi, katika huduma zenu za vifurushi mtu ananunua "bundle" la Tsh 1,000.00 mnampa MBs 200 mkiita za saa 24. Kwamba saa 24 zikiisha basi MBs 200 zinakuwa zimeisha. Wizi mnaufanya pale ambapo mteja hakutumia huduma ya internet (data) au katumia kidogo mno. Lkn saa 24 zinapofika tu, tayari mnambania pua, "Ndugu mteja kifurushi chako cha internet kimekwisha, kununua piga *149*03#" Mimi nimeshanunua bidhaa kutoka kwako, Bando ambayo sasa ni Mali yangu halali maana hata risiti umenipa, kwa nini unipangie muda wa kutumia Bando langu? Kwani nikishanunua kifurushi kwenu bado kifurushi hicho ni Mali yenu hadi mnipangie namna ya kuitumia? Huu ni wizi! Msinipangie muda wa kutumia unless ni kifurushi cha bure lkn si niliyonunua kwa hela yangu. Mkome!
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
MY TAKE
Napenyezewa hapa kwamba si Vodacom pekee Bali makampuni karibu yote ya simu yanashiriki ujambazi huu na Rais JPM anatazama tu wanyonge wanavyonyongwa. TCRA mjipime.
Pole inaonekana umeanza kutumia simu juzi juzi uliza majirani basiKAMPUNI ya Vodacom Tanzania Limited, hiki mnachokifanya ni wizi na unyang'anyi kama ulivyo ukabaji, kuvunja nyumba ya mtu na kumuibia au kumpora Mali yake kwa nguvu na hata kumjeruhi au kumuua. Kinachotia hasira na hasara zaidi ni kuona TCRA wanajua wizi na utapeli huu lakini wakijifanya kutoona au haiwahusu. Wanashiriki wizi na utapeli huu wa VODACOM. Shame indeed!