papiso
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 391
- 231
Mkuu hebu fuatilia huu wizi wa pesa yangu 20,000/= na sikupata jibu la maana.
Mkuu napingana na wewe kwa asilimia mia hakuna watu wanaofanya kazi kama customer care wa Voda tena kwa ufanisi na kujali wa teja japo mishahara yao inasikitiasha na kuvunja moyo labda kama hujui agent mmoja anapokea zaidi ya simu mia mbili na kuendelea kutatua tatizo kujaza form za kila simu na kumantain quality ya Huduma hata kama Mteja akija kwa dharau hasira au matusi hana muda wa kupumzika zaidi ya muda wa lisaa limoja nalo uligawe muda wa chai na lanchi ni kosa la jinai kuingia katika taarifa za Mteja kinyume cha taratibu hata ni mkeo ni ukibainika ni nyumbani
Sasa usiongee kitu uasicho kijua