Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mkuu hebu fuatilia huu wizi wa pesa yangu 20,000/= na sikupata jibu la maana.

Mkuu napingana na wewe kwa asilimia mia hakuna watu wanaofanya kazi kama customer care wa Voda tena kwa ufanisi na kujali wa teja japo mishahara yao inasikitiasha na kuvunja moyo labda kama hujui agent mmoja anapokea zaidi ya simu mia mbili na kuendelea kutatua tatizo kujaza form za kila simu na kumantain quality ya Huduma hata kama Mteja akija kwa dharau hasira au matusi hana muda wa kupumzika zaidi ya muda wa lisaa limoja nalo uligawe muda wa chai na lanchi ni kosa la jinai kuingia katika taarifa za Mteja kinyume cha taratibu hata ni mkeo ni ukibainika ni nyumbani
Sasa usiongee kitu uasicho kijua
 
Ulipokua off mtandao wa Voda ulikua tip top labda mpesa kwenda au kutoka benk ndio ulisumbua kidogo. Tangu wewe urudi ofcn VODA imekua majanga. mpesa hakuna service. msg zinaenda baada ya masaa mpaka matano. Nadhani wewe ni saboteur hapo voda. Kamalizie viroba vyako tuachie voda yetu

aah ah ahh jumamosi iliyopita nilicheka sana, nilimtumia txt mchumba wangu anatokea arusha, akaja safari nzima ya masaa 10 then amefika tukala tukalala kama saa4 usiku txt zangu zikadeliver

akaniuliza beibi una matatizo eeh? nikauliza nini?eti namtext usiku, kuangalia kumbe ni za asubuhi yake, yaani vitukooooo!

ndugu umenikumbusha iyo kitu...jamaa alete majibu y inakuwa ivo???
 
aah ah ahh jumamosi iliyopita nilicheka sana, nilimtumia txt mchumba wangu anatokea arusha, akaja safari nzima ya masaa 10 then amefika tukala tukalala kama saa4 usiku txt zangu zikadeliver....akaniuliza beibi una matatizo eeh? nikauliza nini?eti namtext usiku, kuangalia kumbe ni za asubuhi yake, yaani vitukooooo!!!!!!!!!ndugu umenikumbusha iyo kitu...jamaa alete majibu y inakuwa ivo???

Of coz hiyo huwa inatokea japo kwa uchache unapotuma SMS inaingia kwenye system na kuwa transmitted via minara yetu then kwenye simu ya muhusika in case muhusika kazima simu au simu imejaa SMS zingine ujumbe huwa unacheza baina ya mnara na simu kwa signal maalum mpaka pale simu ya Mteja itakapowashwa au kupunguza SMS ili kupata nafasi tatizo jingine ni kuzidiwa kwa mtandao SMS huwa nyingi sana hewani hii ilipelekea hadi ile Huduma ya kujulishwa kwa njia ya SMS kwa MTU aliyekuwa anakutafuta wakati ulikuwa haupatikani kufutwa Japo sasa imerudi ukiomba mkuu yote ni kupunguza load
 
aah ah ahh jumamosi iliyopita nilicheka sana, nilimtumia txt mchumba wangu anatokea arusha, akaja safari nzima ya masaa 10 then amefika tukala tukalala kama saa4 usiku txt zangu zikadeliver....akaniuliza beibi una matatizo eeh? nikauliza nini?eti namtext usiku, kuangalia kumbe ni za asubuhi yake, yaani vitukooooo!!!!!!!!!ndugu umenikumbusha iyo kitu...jamaa alete majibu y inakuwa ivo???

Ila mkuu bado upo enzi za simu za Siemens unatuma plain badilika bwana kuna whatsap viber tango tweeter hata Facebook au hata jamii forum we unakomaa na SMS kaka
 
ishu nyingine ni kuwa jitaidi kuwa na committed staffs siku izi ukitaka kupata simu ya mchumba yupi anaongea na nani au mme au mmke anachat na nani unapata kwa commission ndogo sana, offcourse inalinda maadili ila inaongoza kwa kuvunja ndoa,,,,mmuache kutuwaweka watu part time na kuwalipa ela ndogo eti laki na nusu part time, iyo inaleta mianya ya corruption... kama unapisha nipe elfu 20,000/- then taja hata namba tano then uniambie unataka kujua nini au nani anachat na nani nikultetee statements...na nashauri mngekuwa kama tigo, ,mteja akidelete message na kwenye system inafutika ila kuna binti aliniambia juzi kuwa kama mteja akidelete nyie voda mnaweka kwenye delete box ila staff wenu wanaweza kuendelea kuzisoma zoote,nikabisha nikachat na kufuta, jion akanieleza kila kitu nilichofanya iyo ni mbaya ndugu, privacy ni muhimu zaidi,
ndoa zetu ziko at risk kwa vi elfu 10 isirini tu.........

Kaka japo sina ushaidii wa kuthibitisha madai yako ukweli ni kwamba hakuna hata customer care hata mmoja mwenye access na Meseji au mazungumzo ya Wateja hao watakuwa ni watu wengine tofauti na idara hiyo imagine kila customer anahuo uwezo tupo zaidi ya mia sita what would happen zaidi ya all heal break loose
 
Kesho ni siku nyingine mwenye tatizo be free to tell me okey
 
Na nitajitahidi kukusaidia kiroho safi na yule jamaa wa luku hanitumia meter namba yake nimrukebishie issue yake na of coz yule aliyelabwa elfu ishirini pole sana smart phone uwa zina tabia hizo the best way ni kujiunga na bundle as fast as possible Voda hawakosi sababu ila issue ya bundle ni rahisi kuwa compassated na bundle nyingine ila kurudishiwa hela ni sawa na hule msemo kiendacho kwa mganga hakirudi
 
Jitahidi huenda ukarudiasha wateja.

Tunaposema vodacom tunaongoza huduma zetu ni bora na nafuu sana Huduma yetu ya kifedha imetapakaa Tanzania nzima zaidi ya taasisi yoyote ya kifedha nchini
 
Kuna lalamiko moja kubwa sana nahisi hata wewe hapo Mteja wangu unalo .

Voda mnatuweka sana kwenye laini kumpata muhudumu
Labda nianze na kufafanua ili jambo customer care wa Voda hawana tofauti na watoa Huduma wa bank tofauti humuoni physically sasa ukienda bank ukaona foleni je unanza kulalamika au unapanga foleni tatizo ukipiga simu unajiona Uko peke yako kumbe mpo wengi sehemu mbalimbali uamini piga simu Voda usiku wa manane utapokelewa fasta
 
Ukiwa na tatizo we piga 100 utasidiwa wakati wowote in case muhudumu amekujibu vibaya usikimbilie kutupaka tope idara nzima recordi ule muda piga tena utapokelewa na mwingine omba kuongea na supervisor ndani ya masaa machache muhudumu aliyekujibu vibaya atakupigia simu kukuomba radhi sisi kwetu Mteja ni mfalme
 
kuna line yangu ilipotea nikapotezea sasa anatumia m2 mwengine na usajili mwengine ili likoje hapo.
 
Mimi nilipiga simu kulalamikia kutokutumiwa umeme wangu wa elfu 30,nikagombezwa baada ya apo nkafungiwa line yangu kupiga customer care naambiwa et kuna mtu ama report et simu yangu iyo imeibiwa,na mimi ndo mmilki wa iyo namba.msaada tafadhali
 
Huku bado baadhi ya sehemu kuna siku huwa haupatikani kabisa huku wateja tukiwa tumenunua vifurushi vya cheka ya kupiga,kutuma msg na kwaajili internet mbaya zaidi muda mnapokuwa hampatikani yaani minara yenu kushindwa kuwa vzr kwamaana simu huwa hazitoki wala kuingia kwa mteja aliyeko maeneo hayo.


Kwanini mnaporudi hewani halafu yule mteja kifurushi chake kikaisha muda wakati tatizo mmesababisha VODA kwa minara yenu na server kushindwa kuwaruhusu wateja kupiga simu wanapokuwa na virushi msiwarudishie vifurushi vyao kwakufidia makosa mliyofanya ninyi voda.


Jaribuni kuwa kama tigo wanapofanya makosa hurudisha kwa mteja wao muda wa maongezi,msg na kifurushi cha internet lakini pia wakimtaka radhi lakini kwa voda huwa wizi umeshamiri sana hasa kuna siku mtandao hauruhusu simu kwenda nje,yaani cheka inapokaribia mwisho mtandao unakorofisha.


Lipeleke hili kwenye uongozi wako minara inaposhindwa kufanya kazi na makosa ni yenu mturudishie muda wetu wetu wa cheka na bundle za neti.
 
Mimi nilipiga simu kulalamikia kutokutumiwa umeme wangu wa elfu 30,nikagombezwa baada ya apo nkafungiwa line yangu kupiga customer care naambiwa et kuna mtu ama report et simu yangu iyo imeibiwa,na mimi ndo mmilki wa iyo namba.msaada tafadhali

Duuh hii kali mkuu, watu wamekula mpunga wako halafu wanakupiga biti!!
 
Voda mnakera sana kwenye suala la usajili. Hiv juz nilinunua line ya voda na kuisajil na nikaweka buku ili kuictivate.

kilichofuata ni msj za voda kuwa line yako haijasajiliwa alafu ikawa haifai kupga simu ya aina yoyote..why this..by da way kilain nishakitupilia mbal japo kabuk kangu nimetoa sadaka...angryyy
..also suala la luku, why kila ifikapo sa 12 jion na kundelea ununuaj wa luku kipitia voda ni disaster..yan mshatulaza giza mara kibao.

Siku hiz nimejigundulia zangu yan tigo na aitel kwa sana...badiliken voda!
 
Duuh hii kali mkuu, watu wamekula mpunga wako halafu wanakupiga biti!!

Usipime asee,Bahati mbaya wanatajaga majina yao,namkumbka sana uyo sister nataka kujua namwazibu vip kwa hasara aliyonletea wiki mbili sasa sipatikani hewani kisa yeye ccpapiso
 
  • Fanyieni kazi ubora wa huduma ya kifedha hasa utumapo fedha benk toka kwenye simu huchelewa sana fedha kuweza onekana katika account ya benki husika, au uamishapo fedha toka benki kwenda kwenye namba ya simu pia fedha huchelewa kufika kwenye simu. UKILINGANISHA NA HUDUMA ZA KIBENKI TA TIGO PESA huwa ni hapo kwa hapo within 5 seconds fedha inakuwa tayari imeonekana kama ni benk au katika simu
  • Bila shaka nimeeleweka.

Mfano NMB mobile ukituma MPESA inachelewa sana,kuna siku zaidi ya masaa mawili sikupata Fedha,nikawapigia huduma kwa wateja(nmb) wakaniambia kwa Voda ni kawaida kuchelewa,nikamuuliza kwanini msituambie wateja wenu mapema,wakaniambia wanaogopa kuharibu biashara ya Voda
 
kuna line yangu ilipotea nikapotezea sasa anatumia m2 mwengine na usajili mwengine ili likoje hapo.

Laini ukiipoteza au ukaiweka kapuni ikizidi mwezi hufungwa mwezi tena ukipita hufutwa mwezi unaofatia hupewa MTU mwingine
 
Ukiwa na tatizo we piga 100 utasidiwa wakati wowote in case muhudumu amekujibu vibaya usikimbilie kutupaka tope idara nzima recordi ule muda piga tena utapokelewa na mwingine omba kuongea na supervisor ndani ya masaa machache muhudumu aliyekujibu vibaya atakupigia simu kukuomba radhi sisi kwetu Mteja ni mfalme
Hapa nimepapenda,siku hizi nikiongea na CC akijitambulisha jina naandika katika kalatasi kabisa!sasa je ukipiga akapokea yule yule alienikwanza?nitajuaje ninaeongea nae supervisor?

-Matatizo yangu,mimi natumia huduma ya BBM,huwa najiunga kifurushi cha mwezi,wiki,na siku,inategemea kipindi hiko nina kiasi gani.

-Tatizo ni pale ninapojiunga na kifurushi cha siku(24),alafu unakuta zaidi ya matatu au manne huduma sijapata,unakuta nimejaribu kutoa betri ili kurestart,ila wapi,nawapigia CC wanaleta longolongo,na ikifikika saa 6 usiku,huduma inakua imeisha,Kwanini hamtufidii wateja kwa uzembe wenu,tatizo ni lenu si langu...!

-Tatizo lingine mmeweka ukomo wa kuwapigia CC(Customer Care
) kwa mwezi,hamjatenda haki kwa wateja,matatizo mengi ni yenu nyinyi Voda,kwanini mnilazimishe niende katika namba ya kulipia?kuongea na CC?

-Tatizo lingine linalotukera ni mesej na simu zenu za matangazo ambayo si muhimu kwa mteja,mfano kuchagua wimbo,nk,unakuta umelala unasikia cm inaita unaamka kupokea,unaambia sijui chagua Wimbo,unaoupenda...huu ni upuuzi sana,namba ya simu ni Mali yangu binafsi...kwanini mnikere.....
Naomba majibu
 
Back
Top Bottom