Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.

Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.

Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.

Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom

hamia airtel...hakatwi mtu hapa!
 
Kuna vijana wanafanya kazi kwenye makampuni ya Simu PCCB inawahusu sana. Wamejenga Majumba mazuri tu Goba na Mbezi juu wakati Mwaka jana tu walikua wakizunguka na bahasha za Khaki maofisini.

Mfano katika wateja 4mil, ye akaamua kila wiki kuchukua wateja laki 5 tu kwa kuwala Tshs 100/- each tayari ana 50Mil
 
Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe.

Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.
 
Ni kweli voda ni washenzi sana. Wanaiba mno. Mimi wameshaniibia sana. Nimepunguza matumizi ya voda na kuhamishia budget yangu ya airtime mtandao mwingine
 
Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe. Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.

Sio smartphone tu pekee..ht tochi ndg yangu unaweka salio dk mbil hulijuti..washenzi sana voda
 
VodaCom niwezi sana hasa wanaiba hadi ktk akaunti za NMB hasa kwa walewaliojiunga na nmb mobile ni hatari sana kwa usalama wa pesa zao...ndio maana natumia sana crdb simbank kwa tigo maana neno siri huwa tofauti na neno siri la akaunt yako ila huko voda na nmb neno siri la akaunt ndio hiyo wanatakautumie ktk nmb mobile so wafanyakazi wa voda wanakuwa wanamiliki pin za wateja na kuinga na kuchukua pesa kama za kwao vile weziii sana hao watu.
 
Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe. Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.

bila shaka huyu ni m1 wao (mfanyakaz wa voda) anaandika utumbo tu tofauti na malalamiko ya wadau hapa.watch out wa2 wana machungu...
 
Yote misi bana, tigo misi, hamia huku (airtel) iko misi pia ila voda iko misi kuba.:israel:
 
Lingine ni kwamba wameblock hata mtandao wa jamiiforums haupatikani kama unatumia line ya voda na kama unabisha jaribu na utanipa jibu
 
Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.

Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.

Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.

Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom

Mbona ni tangu muda mrefu they do that, mtandao wa kuaminika kwa sasa ni baba lao au zantel vinginevyo utafilisika
 
Voda wachafu sana,japo mitandao karibia yote inashida lakin la voda ni tatizo kubwa,mi hadi newakimbia kwan hata ukowapigia customer care wanakuzungusha...mamlaka husika ichukue hatua wasisubiri hadi iwe ugomvi kwan kuna watu hawawezi vumilia uchafu.
 
Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.

Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.

Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.

Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom
Ni kweli kabisa mkuu vijamaa ni vijizi sana mimi niliweka 15000 hazikuisha dakika tano kucheki salio nakuta sifuri nikawapigia simu wanasema ni kweli wanaona nimeweka lakini mtandao hauonyeshi zimeenda wapi mpaka leo hewa wakaja kunipiga tena 10000 uuuuuwiiiiii noma nikikumbuka pesa zangu
 
Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.

Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.

Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.

Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom

Mkuu kweli kabisa. Mi nlishalimwa buku 20, mchana kweupe. Kama si nawekewa salio na mwajiri, voda wangenisikia kwenye bomba. Majizi sana haya majamaa.

Yanaibia wanaoweka kiasi kikubwa cha bundle. Nimejaribu kuongea na customer services, hakyamama ni afadhali nisingepoteza muda wangu.
 
hawa washenzi niliamua kuachana nao mara tu walipopunguza dakika za cheka kupiga mitandao yote....

Bora Airtel kwa sasa ambayo kwa Tsh 19999 napata dakika 650 kupiga mitandao yote kwa mwezi mzima.
 
Jamani sometimes hizi android zenu zinapakua data pale ti simu inapowekwa vocha.kabla ya kulalamika angalia hilo.ikiwezekana weka data mode off wakati unarecharge.malalamiko mengi kama hili alieanzisha uzi huu ni data mode kulamba airtime(ukinunua kifurushi cha data,na pale usipokuwa nacho airtime inaisha haraka sana)
 
Back
Top Bottom