WISE BOY
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 782
- 243
Nilikua nafanya uchunguzi wa hili jambo sasa nimepata jibu, maana nimeunga bundle ya wiki mara kadhaa halafu wanakuambia ina sec flani za kupiga mitandao yote, lkn nikipiga mtandao mwingine kwa sec chache tu (chini ya walizonipa) wanakata salio lililokuwepo, ikimaanisha hzo sec kadhaa za mitandao yote ni hewa