Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nilikua nafanya uchunguzi wa hili jambo sasa nimepata jibu, maana nimeunga bundle ya wiki mara kadhaa halafu wanakuambia ina sec flani za kupiga mitandao yote, lkn nikipiga mtandao mwingine kwa sec chache tu (chini ya walizonipa) wanakata salio lililokuwepo, ikimaanisha hzo sec kadhaa za mitandao yote ni hewa
 
Kuna kitu nadhani watu wengi wanaolalamika kuwa wanaibiwa mnakosea. Kama unatumia smartphone na hujajiunga na bando la internet ni lazima pesa yako itaendelea kuliwa taratibu hadi iishe. Cha msingi kama wewe hutumii inernet nenda kwenye mobile network then iweke off! Otherwise applications ambazo zinafanyakazi katika background zitamaliza pesa yote.

....hata hiyo nayo....bado huo ni WIZI....kwanza gharama za mawasilano bongo ni ghali sana....halafu mijitu INAIBA...washenzi sana hao VODACOM......hapa njia nimoja tu....achaneni na Vodacom.......na pia wapelekeni kwenye mamlaka husika ili pesa zenu zirejeshwe.......
 
Airtel ni waizi kwenye MB za internet. Ole wako kifurushi choko cha MB kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.
 
Airtel ni waizi kwenye MB za internet. Ole wako kifurushi choko cha MB kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.

Sasa hapo ni wezi au unakatwa kwa halali?
 
Airtel ni waizi kwenye MB za internet. Ole wako kifurushi choko cha MB kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.

usiponunua bundle halafu una simu yenye screen kubwa lazma hata ukiweka elf 5 iishe within 5 minutes kwa mtandao wowote...usi surf kama hujanunua bundle!
 
hawa washenzi niliamua kuachana nao mara tu walipopunguza dakika za cheka kupiga mitandao yote....

Bora Airtel kwa sasa ambayo kwa Tsh 19999 napata dakika 650 kupiga mitandao yote kwa mwezi mzima.

voda - voda 8000 sec, voda kwenda mitandao mingine 300 sec. ..kwanimw usihamie airtel? Nilichelewa sana kujiunga na BABA LAO.
 
Voda wachafu sana,japo mitandao karibia yote inashida lakin la voda ni tatizo kubwa,mi hadi newakimbia kwan hata ukowapigia customer care wanakuzungusha...mamlaka husika ichukue hatua wasisubiri hadi iwe ugomvi kwan kuna watu hawawezi vumilia uchafu.

customer care wa voda ni bora wangewaweka mbuzi watumie lugha ya vitendo
 
airtel ni waizi kwenye mb za internet. Ole wako kifurushi choko cha mb kiwe kimeisha halafu kuwe na salio ambalo siyo la kifurushi mbona utajuta.

we pimbi kweli, sasa una surf bila bando we bakhresa?
 
Vodacom wamekithiri ktk wizi...

1. Nilijiunga na kifushi cha Cheka, 7000 kwa wiki... Kesho yake kuangalia kifurushi kimekwisha.... Wakati sikutumia sana.

2. Ktk bango lao la kutoa na kutuma pesa kwa Mpesa wameandika kuwa, kutuma fedha kwa wateja wasiosajiliwa kutoka 400,000 mpaka 499,999 wanatoza 7000... Wiki iliyopita nilituma 490,000 wakanikata 7800.. Ikiwa ni ziada ya 800.

3. Kutuma pesa kwa wateja wasiosajiliwa, kutoka 20,000 mpaka 49,999 wanatoza 1,600... Nilituma 20,000 wakanitoza 1,800... Ikiwa ni ziada ya 200.

NB.
Matukio yote niliyaripoti kwa kuwapigia simu.

Vodacom acheni wizi.

Nipo tayari kutoa ushahidi.
 
TCRA wana mtindo wa kukalia malalmiko ikipita wiki mbili hawakujibu wakilisha malalamiko kwenye tume yaa ushindani ofisi zao ziko ubungo

Mkuu, hii itasaidia kweli? Hizi mamlaka zote, kuanzia TCRA mpaka Tume ya Ushindani wa Haki, zimetiwa mfukoni na kampuni za simu.
 
Back
Top Bottom