Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

voda nyie ni ma'ku*ma, haiwezekani napoteza zaidi ya lisaa kwenye system yenu kutafuta tuu mtu wa kuongea naye.
 
Huku ni zero hamna lolote mtandao wa majizi tu kila mtu analalamika mawakala wao pamoja na mafreelancer wanafanya kazi kufaidisha huku malipo no sifuri MLISHAFELI SIKU NYINGI ILA KINACHOWASHIKILIA KIDOGO NI MPESA NGOJA TU WAMEKUJA WENGINE AKINA TIGO AIRTEL NA HALOPESA KWISHA HABARI YENU MAJIZI MAKUBWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangese kweli yaani.
Wanakera kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Voda,nimesajili kwa alama za vidole lakini,songesha wanagomesha M pawa ndo usiseme,na napokea ujube huu(your applyof openFI account have been processing Wii receive notification when FI account have been created ,Hasa naomba kujua F I account ni Nini?
 
Matatizo yenu humu hayajibiwi, nendeni kwenye kurusa ya Facebook ya Vodacom Tanzania huko wanatoa majibu Kwa matatizo ya msingi.
 
Nimevumilia mno nimeona nibwatuke tu sasa maana hawa jamaaa hawana huruma kabisa.

Uwe una kifurushi, usiwe nacho shida iko palepale, they consume my data at very high rate. Kwani TCRA huku hawahusiki kupanga bei au biashara huria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom