Hapo no way bro..tafuta watu wauzie kwa kuwarushia mkuuNilikuwa kwenye harakati za kununua salio, sasa badala ya kuandika 3,500 (elfu tatu mia tano) nikaandika 35,000 (elfu thelathini na tano). Na hofu yangu kubwa ni kuwa hii hela italiwa muda wowote....maana yaweza kuwa kifurushi kimeisha wakaanza kukata kwenye salio bila kujua..matokeo yake nitakuja kukuta salio ni sifuri.
Na nina kazi nyingine na hii pesa, siwezi kutumia pesa yote hiyo kwenye simu.
Shukran kwa ushauri huu.ah ah acha kupanick mzee ..watu walinunua kifurushi cha million...nenda *150*01# nenda 11 halafu nenda 7 hapo utazuia bando lisikatwe hata kama internet ipo on..utanunua vufurushi vya 3500 mara 10
Nimeelekezwa hivyo nikaenda kwa Jamaa wanaouza, wakaniambia wanipe 20,000 kwa salio la 30,000 sasa ni ujinga gani huo? na wanaringa hawakutaka hata ku negotiate.
Ila Wakuu mnaunga mkono lakini huu sio ukatili wa mitandao ya simu?Hii ni kiendacho kwa mchungaji hakirudi.
Hii huduma haikubali Mkuu, nimejaribu hamna kitu badala yake inanielekeza jinsi ya kuomba 'nitumie salio kwa M-Pesa'ah ah acha kupanick mzee ..watu walinunua kifurushi cha million...nenda *150*01# nenda 11 halafu nenda 7 hapo utazuia bando lisikatwe hata kama internet ipo on..utanunua vufurushi vya 3500 mara 10
Duuh, ndivyo walivyo wajinga hao. Kama hali inaruhusu wanunulie tu hata ndugu zako muda wa maongezi, ni bora kuliko kumpa mtu baki 10000 nzimaNimeelekezwa hivyo nikaenda kwa Jamaa wanaouza, wakaniambia wanipe 20,000 kwa salio la 30,000 sasa ni ujinga gani huo? na wanaringa hawakutaka hata ku negotiate.
Walau wangeniambia wakate 2000 au 3000.
Hatuungi mkono mkuu tunakuambia ukweli.Ila Wakuu mnaunga mkono lakini huu sio ukatili wa mitandao ya simu?
Hapa lazima tuongee na TCRA, hii ni njia ya kikatili ya kulazimisha Mtu atumie pesa kwenye huduma zao kwa nguvu...walipaswa kuwa na option ya kumrudishia Mtu pesa yake hata kwa kuweka adhabu kidogo....hata wakikata 2000 sio mbaya badala ya kumkwamisha Mtu shughuli zake.
Hivi kwa mfano ndio nipo safarini na hiyo ndio pesa pekee naitegemea kulala gesti, kula na nauli ya basi kwa siku inayofuata?
Sorry nenda *149*01# nenda 11 huduma nyengine halafu nenda 8 matumizi bila bando hapo utazuia bando lisikatwe hata kama internet ipo on..utanunua vufurushi vya 3500 mara 10Hii huduma haikubali Mkuu, nimejaribu hamna kitu badala yake inanielekeza jinsi ya kuomba 'nitumie salio kwa M-Pesa'
PoleNilikuwa kwenye harakati za kununua salio, sasa badala ya kuandika 3,500 (elfu tatu mia tano) nikaandika 35,000 (elfu thelathini na tano). Na hofu yangu kubwa ni kuwa hii hela italiwa muda wowote....maana yaweza kuwa kifurushi kimeisha wakaanza kukata kwenye salio bila kujua..matokeo yake nitakuja kukuta salio ni sifuri.
Na nina kazi nyingine na hii pesa, siwezi kutumia pesa yote hiyo kwenye simu.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania