Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Voda mozafantaz mnazingua kimaku acheni uwaki mmenichefua kiduanzi mbayaaa yanii kesho nawapiga chini mapema asubuhi na songesha yenu silipi. MOFOS..
 
Mimi jamani voda nawaomba tu muwe waungwana hiyo kesho kuturefund kwasabababu msipofanya hivyo itakua ni dhuluma ya mwaka☹️☹️
Kubalini tu kupata hasara Kama sisi tulivyo pata hasara kwa hiyo tuvumiliane

We want to see yajayo yanafurahisha please mkatufurahishe kesho
 
Kwa mlichotufanyia Leo Mmeingiza watu hasara Sana Mfano Nimenunua Vocha 1000 airtell Hali ya kuwa nlikua nategemea Bundle langu la Vodacom
Ushauri wangu Vodacom Tanzania
Fanyeni utaratibu wa kuwafuta machozi Wateja wenu Hata MB 500 kila mtu itakua poa Sana AU mkiweza Buku Buku Mpesa sio mbaya hamna cha kupoteza [emoji1787][emoji1787]
Maana Kuna watu Washahama mtandao mjue [emoji23][emoji23][emoji23]

By the way Poleni Sana Tangu mpoteze Wakurugenzi Wenu (3) Mwaka Jana
Naipenda Sana Vodacom [emoji8][emoji8]
 
mturudishie MBS zetu sisi za siku mbili juzi na Jana 22th,02,2020
 
 
Sijawahi kuamini mtandao uliokua bora Tanzania umekua wa kitapeli kiasi hiki. Juzi mtandao umesumbua, mpaka unarudi hamkujali kunifidia MB wala chochote kwa usumbufu. Leo nimeweka vocha inaonyesha kuingia lakini salio linaokena tofauti.

Napiga simu huduma kwa wateja eti hamuoni matumizi niliyo fanya. Nikidai kurudishiwa pesa yangu eti mnaniambia nitembelee ofisi zenu?

Jamani hizi nauliza za kutoka nilipo kuja ofisini kwenu kwa makosa mnayo sababisha nyinyi tunazitoa wapi? Mbona mumebadilika hivi?
 
Watu inabidi kuendelea kuteseka kutumia voda kwa sababu tu hatupendi usumbufu wa kuhama mitandao. Lakini kutumia voda ni mateso sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…