Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Zantel wako vizuri sana, tofauti kbs na voda.
Zantel wako vizuri sana kwenye speed ya internet network lakini kama unakimbia gharama kubwa vodacom basi jua hata Zantel itakushinda sababu bundle la week linaweza kuisha ndani ya masaa kutegemeana na vitu ulivyokuwa unapakua. Ila iko vizuri kama suala la gharama kwako si shida.