Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Zantel wako vizuri sana, tofauti kbs na voda.

Zantel wako vizuri sana kwenye speed ya internet network lakini kama unakimbia gharama kubwa vodacom basi jua hata Zantel itakushinda sababu bundle la week linaweza kuisha ndani ya masaa kutegemeana na vitu ulivyokuwa unapakua. Ila iko vizuri kama suala la gharama kwako si shida.
 
Cc Vodacom cs tanzania naimani watakua wamejifunza...
 
Last edited by a moderator:
modem yao nimeitupa uvungun jana, narudi ZANTEL.
 
Hawa ni wezi sijawahi kuona,natafuta kifungu niwapeleke mahakamani wezi wakubwa hawa
 
Cheka bombastiick lol
Tena huko kwenye cheka bombastic, ndiyo balaa tupu.

Mara nyingi mimi huwa nanunua vifurushi vya masaa 24.

Ni mara nyingi hata masaa matatu hayajaisha, nashtukia napokea meseji ya kuwa kifurushi changu kimekwisha, wakati pengine nimetuma sms 2 tu, wakati kifurushi hicho kimeni-assure kuwa, naweza tuma hadi sms 100!!
 
Hivi hakuna sheria ya kuwashtaki?

Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
 
Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!

TCRA ni mzigo kwa nchi yetu mana sio kwenye simu tu pia hata kwenye king'amuzi cha DSTV wameshindwa kutatua hili la kutoonyesha bure local chanel wakati walitoa kauli kuwa lazima local chanel ziwe bure, ila juzi hapa kuna mtu asema kuna wakubwa waba vi share ndo mana ipo ivyo.
 
Mm jana usiku nimewapigia customer service yao hakuna anaejua anachofanya , pesa yangu wamekata bila sababu kila mmoja anasema ebu piga baada ya masaa mawili - kipiga hamna huduma ya kueleweka!!
Shiiit Vodacom wamekua vibaka wa mtandaoni hawana tofauti na mbwa mwitu.
Nitawahama soon manake hata huduma zenu saiv hazieleweki kabisa.

Kumbe tuko wengi
 
Ukwel hapa ndo naonaga hakuna mtetezi UKAWA MPOOOO??
 
Hata mie wameniudhi kweli.Unajiunga bundle but wanalimit speed.Tutawahama
 
hahahha, vodacom?111...unalipa elf6 kwa wiki wanakupa 2gb wakati tigowanakupa 10g kama skosei, akili ya kuambiwa!....

Tatizo hii kampuni yule jamaa anayemiliki hisa huko kaacha kuiba kwa kutumia siasa.sasa hivi anaibia mtu mmoja mmoja!!hivi tutapona?Tigo nao mtandao ni majanga internet yao siku hizi haipatikani!!
 
vipi zantel waungwana na tgo even mimi nataka nihame for good!

Usije kulogwa uje TGO mm wananipa Huduma ambayo skuomba wananikata 150 je,wamewakata WaTZ wangap cku hiyo alafu wanakuandkia uktaka kujitoa andka Ondoa 15668 kifupi TGO,Airtel Na Voda Hakuna aliyemwaminifu wakujvunia....dats why naogopa hata Kuhofadhi pesa yangu MPAWA hatakama imezinduliwa Na Mh.Raisssss....
 
Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
TCRA kazi kututishia Dagaa tu, ooh mnatumia mitandaoo ya Jamii vbaya.kuandka matus tukiwabaini mtakuona cha moto jaman hv nch hii Na upumbavu Kama Huu bla matusi tutafika...matus ndo aspirin ya uovu wenu kwetu.
 
Msije mkalogwa mkanunua bundle la mwezi kama nilivyofanya mimi. Nimenunua bundle la la Mwezi la gb 1. Nimetumia siku 3. Tena katika whats app. Baada ya siku 3 naambiwa eti eti zimebaki bundle 365mb. Leo asubuhi zimebaki bundle 46mb. Wezi wakubwa hawa vodacom. Msije kufanya makosa niliyofanya mimi i thought nina save kumbe ndo ninaibiwa. Nilikuwa naitetea sana inaposemwa vibaya hii kampuni. Kwa tukio hili sina imani nao tena. Wezi wakubwa.

Swali moja la msingi kabisa, Unatumia simu aina gani?
Smartphone na simu ya kawaida yenye internet zina matumizi tofauti.
Usije kuwa unalinganisha lita 10 za mafuta kwenye Vitz ulizoendea nazo 60km ndo unataka uendee umbali huo huo kwa kutumia gari ya Hammer au Mercedez Benz.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Unayelalamika download speed kupungua kuna kitu kinaitwa fair usage policy, unapewa super download speed labda kwa first 100MB then the rest unapata/unamalizia kwa 10kilobytes per second/10kps

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom