Zantel wako vizuri sana, tofauti kbs na voda.
Tena huko kwenye cheka bombastic, ndiyo balaa tupu.Cheka bombastiick lol
Hivi hakuna sheria ya kuwashtaki?
Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
Mm jana usiku nimewapigia customer service yao hakuna anaejua anachofanya , pesa yangu wamekata bila sababu kila mmoja anasema ebu piga baada ya masaa mawili - kipiga hamna huduma ya kueleweka!!
Shiiit Vodacom wamekua vibaka wa mtandaoni hawana tofauti na mbwa mwitu.
Nitawahama soon manake hata huduma zenu saiv hazieleweki kabisa.
hahahha, vodacom?111...unalipa elf6 kwa wiki wanakupa 2gb wakati tigowanakupa 10g kama skosei, akili ya kuambiwa!....
vipi zantel waungwana na tgo even mimi nataka nihame for good!
TCRA kazi kututishia Dagaa tu, ooh mnatumia mitandaoo ya Jamii vbaya.kuandka matus tukiwabaini mtakuona cha moto jaman hv nch hii Na upumbavu Kama Huu bla matusi tutafika...matus ndo aspirin ya uovu wenu kwetu.Li-Professa linalosimamia TCRA lina matege ya akili, pu.MBA.vu kabisa linaachia tunaibiwa hadharani hivi utafikri hakuna mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano! Nimenunua dk za 899 nikapewa dk 20 na 100mb badala ya 150mb!
Msije mkalogwa mkanunua bundle la mwezi kama nilivyofanya mimi. Nimenunua bundle la la Mwezi la gb 1. Nimetumia siku 3. Tena katika whats app. Baada ya siku 3 naambiwa eti eti zimebaki bundle 365mb. Leo asubuhi zimebaki bundle 46mb. Wezi wakubwa hawa vodacom. Msije kufanya makosa niliyofanya mimi i thought nina save kumbe ndo ninaibiwa. Nilikuwa naitetea sana inaposemwa vibaya hii kampuni. Kwa tukio hili sina imani nao tena. Wezi wakubwa.