Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,368
Nashukuru kwa sahihisho, nilimaanisha MBps
mkuu eneo la kwenu ndio majanga maana huku kwetu Airtel ndio wanakimbiza mbaya yaani download kwa idm ni 1MB/sec ila tokea nifunge hicho kichujio kitu inagonga 2MB/sec daily.
Mtandao unaofuata kwa speed ni Zantel afu ndiyo voda wakati tigo ndiyo Ziro kabisa
Mkuu unatumia Optic fiber?
Wala haukukosea unapata 5Mbps kweli...maana 5MB/sec(42Mbps) hapa bongo hamna ISP anaiachia kiulaini hiyo...smile wenyewe wakipanda sana 3MB/sec
Nazielewa vizuri hizo calibration
Mm nafikiri hiyo speed ni kubwa sana ukizingatia anatumia modem yenye max speed ya 7.2Mbps....Kwake hiyo 5Mbps ni kubwa sana na ni kubwa kwa Watanzania wote maana ni sawa sawa na kudownload file kwa speed ya 650KB/sec ambayo sio ndogo mkuu...tena kwa kufungua pages na kustream video haina buffering hata punje
Sometimes IDM husoma hadi 700KB/sec ila nayo huwa haikai sana hapo, kama sekunde 20-30 inashuka hadi 500KB/ps
Hongera zenu, huku nilipo vodacom ni majanga dashboard inasoma 256.47kbps, ndio mambo ya Mikoani haya.
nipe utalaamu wa hilo karai mkuu
ukichelewa tu utakuta wajanja washachukau mpunga wote.
Habari sigitoro tungependa kupata namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi tafadhali