Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nashukuru kwa sahihisho, nilimaanisha MBps

Mkuu unatumia Optic fiber?

Wala haukukosea unapata 5Mbps kweli...maana 5MB/sec(42Mbps) hapa bongo hamna ISP anaiachia kiulaini hiyo...smile wenyewe wakipanda sana 3MB/sec
 
qg8t.jpg

mkuu eneo la kwenu ndio majanga maana huku kwetu Airtel ndio wanakimbiza mbaya yaani download kwa idm ni 1MB/sec ila tokea nifunge hicho kichujio kitu inagonga 2MB/sec daily.
Mtandao unaofuata kwa speed ni Zantel afu ndiyo voda wakati tigo ndiyo Ziro kabisa

nipe utalaamu wa hilo karai mkuu
 
Mkuu unatumia Optic fiber?

Wala haukukosea unapata 5Mbps kweli...maana 5MB/sec(42Mbps) hapa bongo hamna ISP anaiachia kiulaini hiyo...smile wenyewe wakipanda sana 3MB/sec

Dashboard huwa inasoma hivyo 4.5-5Mbps ila huwa haikai sana hapo kwenye 5Mbps, episodes za 150Mb dk 5 nyingi.
 
Nazielewa vizuri hizo calibration
Mm nafikiri hiyo speed ni kubwa sana ukizingatia anatumia modem yenye max speed ya 7.2Mbps....Kwake hiyo 5Mbps ni kubwa sana na ni kubwa kwa Watanzania wote maana ni sawa sawa na kudownload file kwa speed ya 650KB/sec ambayo sio ndogo mkuu...tena kwa kufungua pages na kustream video haina buffering hata punje

Sometimes IDM husoma hadi 700KB/sec ila nayo huwa haikai sana hapo, kama sekunde 20-30 inashuka hadi 500KB/ps
 
Sometimes IDM husoma hadi 700KB/sec ila nayo huwa haikai sana hapo, kama sekunde 20-30 inashuka hadi 500KB/ps

Mara nyingi ndo hapo ila mimi nina modem ya 42Mbps na nimeamua kufunga ndoa na Airtel maana kuna mda inapanda mpaka 2.5MB/sec siku ya saba saba nilishangaa eti Airtel wana peak mpaka 3MB/sec which is extremely too much for a 3G network
 
nipe utalaamu wa hilo karai mkuu

Wala halina kazi sana hilo dude ni kiasi cha kununua kichujio cha aluminium,karai/beseni kubwa la Alluminium,Sol tape na Usb extension Cable.
HATUA
Toboa matundu ya kupitisha modem na Usb extension cable katika kichujio & beseni lako la Aluminium,unga hizo beseni na kichujio kwa kutumia waya ngumu (Kichujio kiwe ndani ya beseni kubwa)then chomeka modem na usb extension na kugundisha kwa Sol tape afu ile ncha ingine ya usb unachomeka kwa PC.
Kidude kinasaidia kukamata vizuri 3G signal strenght mie hapa bar zote zipo ful

nfe8.jpg


vn59y.jpg
 
una salio la kueleweka lkm? nitumie namba yako ya siri nikufungulie fasta
 
Hawa jamaa wa Airtel siyo wa kubahatisha,wapo vizuri haswa sema kimodem changu ni cha 14.4Mbps ningekuwa na Kubwa yake ningefika mbali,upload speed sijawapata vizuri bado kwavile natumia njia ya vichaka.


krf90.jpg

wale wanaodai Airtel majanga waweke screen capture za net zao tucompare speed
 
Jaman msije jiloga mkanunua vifurishi vya voda unlimited havina speed kabisa yani net inasinzia kabisa kweli vya bure gharama
Habari sigitoro tungependa kupata namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Habari sigitoro tungependa kupata namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi tafadhali

We ni mtu wa Vodacom au?
Kama ni hivo basi naomba kujua ile 4G mlosema mnaleta inakuja lini?

Afu mnaonaje mkatupa Facebook na twitter kama hawa Tigo maana watu wengi wamefunga nao ndoa kwa sababu ya hii kitu sana sana kwenye Simu

Asante
 
Last edited by a moderator:
Wakuu huu ni wizi wa mchana kweupe. Nilichofanyiwa na Vodacom hakivumiliki, nimeamua kuwashirikisha. Hili limetokea kama saa 1 iliyopita.
Nilijurushia Salio la sh 3,700 kutoka M-PESA kwenda namba ninayotumia kwenye tablet.Nikapokea ujumbe kuwa tayari kiasi hicho kimehamishwa,pia ujumbe kama huo ukaingia tab kuwa kimepokelewa. Kimbembe ni kuwa nilijaribu kununua kifurushi 700mb cha wiki ambayo ni sh3,500. Nikajibiwa Salio halitoshi!! Kuangalia Salio,inasoma sh 0.0!! Sh 3700 imekwenda wapi? Acha vijisenti vilivyokuwepo kabla. Nimewapigia customer care, ni muziki tu,nimesubiri kwa zaidi ya dak 20,hawapokei simu.
 
line ya voda nilishaitupa chooni siku nyingi nilipogunduwa rostam aziz ni mmoja wa wamiliki wa voda.
 
Back
Top Bottom