Habari Kitotoro, ni kweli kwamba laini ikikaa zaidi ya siku 90 bila kutumika inafutwa, kilichotokea kwenye laini mpya ni kwamba wale ndugu, jamaa na marafiki wa mteja wa awali bado wanadhani ndugu/rafiki yao anatumia namba hiyo. Pole sana kwa usumbufu uliojitokeza.Mimi nilikuwa na no ya voda nikaa kwa muda bila kuitumia. Nikajaribu hivi juzi nikakuta wameshaifunga na wamempa mtu mwingine nikawamaindi wakasema ukikaa zaidi ya miezi 3 wanaifunga, kwa vile nilikuwa nahitaji nikanunu nyingi. Hii ndio ilikuwa majanga kabisa ilikuwa ya mtu mwingine full usumbufu kupigiwa na watu msg za ajabu. Voda mjicheki bana
Unastahili tuzo ya uvumilivu kwa kuendelea kuwa na hao jamaa.
Habari Kitotoro, ni kweli kwamba laini ikikaa zaidi ya siku 90 bila kutumika inafutwa, kilichotokea kwenye laini mpya ni kwamba wale ndugu, jamaa na marafiki wa mteja wa awali bado wanadhani ndugu/rafiki yao anatumia namba hiyo. Pole sana kwa usumbufu uliojitokeza.
Mkuu,naomba hiyo VPN, natumia android 4.4.4
- Ndio
- VPN hata katika simu waweza kutumia
- Mfano fungua hizi site NETFLIX, VEVO , utaona kwamba hutoweza kuzitumia
- Ila ukitumia VPN utachagua server mfano ya USA hivyo utaweza kuzitembelea na kuangalia videos kama kawaida
- SEma OS ya simu yako ili nikupe mapendekezo ya VPN nzuli.:cool2:
Mkuu,naomba hiyo VPN, natumia android 4.4.4
Pole sana Somji Juma na wateja wetu kwa ujumla, tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Kwa hiyo tutumie mtandao upi? Yote naona ni majanga tuNilisha sahau mtandao unaitwa Vodacom niwababaishaji sana sana! Tatizo watanzania hatujui haki zetu! Achaneni na mitandao ya hovyo hiyo itawapa adabu wata jiregebisha
Kwa hiyo tutumie mtandao upi? Yote naona ni majanga tu