Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ww speed ndogo mm nimejiunga kifurushi cha 1000 bila kikomo haijaisha masaa 2 naambiwa kimeisha noka ninua cha mb200 yakawa ndiyo majanga kwani ckumaliza kuchart naambiwa kifurushi kimeisha nikaamua kuwapigia voda nikaambiwa ninunue kifurushi kinachonikidhi yaani cha gharama nyingine
Pole sana mkuu ila kwa upande wangu mtandao wa TIGO ndo una huduma mbovu za internet nchini Tanzania.....haipatikani Mara kwa Mara na speed ni ndogo sana.
Tcra wamewekwa kunako mfuko wataongea nn sasaNi kweli...na mimi kinachoniboa kuliko pote ni vifurushi vya data. Tofauti na Airtel (ambao wanakutaarifu kifurushi kikiisha), voda haupati alert yeyote na inaanaza kutafuna airtime....kuna kipindi namaliza hadi elfu hamsini kwa siku
..ingawa nalipiwa na kampuni lakini inaniuma sana...wasiporekebisha hii lazima nihame....TCRA liangilieni hilo pia....huo ni wizi
yaani mkuu unavyosema ni kweli kabisa ,mimi nashangaa kwanini wasifanye hivyo ujanja gani uwo,tambua watu wasemavyo ujanja ndio mwanzo wa wizi! Ndio hivyo wamefika hatua ya kuwaibia watu sasaNi kweli...na mimi kinachoniboa kuliko pote ni vifurushi vya data. Tofauti na Airtel (ambao wanakutaarifu kifurushi kikiisha), voda haupati alert yeyote na inaanaza kutafuna airtime....kuna kipindi namaliza hadi elfu hamsini kwa siku
..ingawa nalipiwa na kampuni lakini inaniuma sana...wasiporekebisha hii lazima nihame....TCRA liangilieni hilo pia....huo ni wizi
yaani hii nchi utadhani amna utawala vile lakini utawala upoooTcra wamewekwa kunako mfuko wataongea nn sasa
unajua kuna sababu mbili hivi kwanza cc wananchi hatujui wapi pa kulalamikia hata kama ukienda tcra wale watafika hapo ofc za voda watahoji ,voda watachukua fungu waliloibia watu kama milion 300 watawapa milion 50 yalivyo majinga yanaondoka nyuma mzungu anawacheka cc tunaumia!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ukijiunga na kifurushi cha Tsh 495 dakika 30 cha ajabu ukitumia dakika 1 na sekunde 1 kisha ukiangalia salio la dakika na sekunde wanakuambia umetumia dakika 2 yaani umebakiza dakika 28, vivyo hivyo ata vifurushi vingine vya Tsh 250, Tsh 645, Tsh 995, Vodacom Tanzania WIZI MTUPU.
Habari dotnet tafadhali wasiliana nasi kwa msaada zaidi. Pole sanaSasa huu ndio wizi. Ina maana gani kuhudia mteja mmoja mmoja tena aliyelalamika? Kwanini wasiwatreat wateja wao fairly tu mpaka biashara za kuPM?
Mimi nilishachukia kwenye iPad kwenye iPhone unaweka monthly bundle lakini internet sloooow na inakata mapema sana.
Ni shida sana.
Habari Crimea, tafadhali tunaomba utufahamishe SMS hizo zinatumwa kutoka namba gani. Tuma taarifa PM kwa msaada zaidi, pole sana.Fikiria mtu unatuma/kutumiwa sms alafu hazifiki kwa wakati. Hivi hii tabia ya huu mtandao kujiona sana kiasi cha kudharau hata malalamiko ya wateja ina sababishwa na nini hasa?
Alafu kitu kingine nmegundua Vodacom ukiwa maeneo ya mjini hasa posta network hasa upande wa internet inasumbua sana!
Hiki kiburi chenu kiwe na mwisho!