Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Habari ndugu mteja, tunapenda kukufahamisha kuwa endapo kadi ya simu haitotumika kwa muda wa siku 90 hufutwa na kurudisha sokoni, tumekuwa tukiwashauri wateja wetu wanaokwenda nje kuwa wajitahidi angalau kutuma japo SMS moja kila mwezi ili kuepuka suala hili.
sasa tunakuomba kama umeamua kuja hapa jf kutoa huduma kama hii na kuyajibu maswali kama unavyofanya tunaomba iwe endelevu sio unajibu mwezi huu tu , alafu unatokomea watu wanapost maswali hamna wa kuyajibu, msiwe kama yule invisible wa jf kuna mfululizo wa maswali kawasha moto ambao hana shughuli nao
 
Habari Mkwano, tafadhali tutumie nakala ya risiti uliyopewa pindi uliponunua modem hiyo kwa msaada zaidi. Pole sana

Huwezi amini sikupewa lisit zaidi namkumbuka kijana wa kihindi aliyeniuzia pale nyanza , sema inasikitisha kuona mnavunja imani kwa wateja mlio tumia garama nyingi kuwapata, modem ninayo ila nimeona bora nitumie wireless kwa kuunga simu , kuliko huu wizi wenu
 
Habari dotnet tafadhali wasiliana nasi kwa msaada zaidi. Pole sana

Nimeshapiga sana huduma kwa wateja no response. Naweka credit 100,000/= kila mwezi lakini nikijiunga na bundle unashangaa ba salio la kawaida linatumika. Muda huu nimeangalia ni sh. 25 tu. Inakera.
 
Last edited by a moderator:
mm kunakipindi nilipoteza cm nikaenda vodashop bukoba kurenew mhudumu akaniuliza pass word nikamwambia akasema pesa wamechukua nikamwambia anipe jina la aliechukua akakataa lkn ukweli walichukuwa wao voda!!
 
Sheeeedah
 
Hili hatojibu
 
Ungemchapa makofi,password ya nini??? Kwan kurenew line password inahusikaje???
 
Aisee huku mtwara voda internet ni hamna kitu kabisa.Mnatufanya tuwahame
 
Ukitaka kujua wizi w voda nunua kifurushi halafu ibakie salio uone, kifurushi kitaisha kabla ya muda, pia salio hutalikuta kikubwa utakutana na msg, kifurushi chako kimekwisha
 
Tcra ndo nn? Au ndo wale jamaa nawaona kwa tv waongeaji sana....,.
 
simu yangu haijawahi kupata speed ya internet ya voda ya kuzidi 70+kbs/sec.Yaani hii ni speed ndogo kupita maelezo ninachohisi voda wameiminya kusudi ili kupunguza watumiaji wengi kwa wakati m'moja!
 
Huwezi amini sikupewa lisit zaidi namkumbuka kijana wa kihindi aliyeniuzia pale nyanza , sema inasikitisha kuona mnavunja imani kwa wateja mlio tumia garama nyingi kuwapata, modem ninayo ila nimeona bora nitumie wireless kwa kuunga simu , kuliko huu wizi wenu

Pole sana MKWANO, tunalifuatilia suala hili.
 
Last edited by a moderator:
mm kunakipindi nilipoteza cm nikaenda vodashop bukoba kurenew mhudumu akaniuliza pass word nikamwambia akasema pesa wamechukua nikamwambia anipe jina la aliechukua akakataa lkn ukweli walichukuwa wao voda!!
Habari Kayabwe, namba ya siri hutakiwi kumpatia mtu yeyote na hata mfanyakazi wa Vodacom akikuomba usimpatie. Tafadhali tutumie taarifa zaidi kuhusu hili nasi tutashirikiana nawe.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshapiga sana huduma kwa wateja no response. Naweka credit 100,000/= kila mwezi lakini nikijiunga na bundle unashangaa ba salio la kawaida linatumika. Muda huu nimeangalia ni sh. 25 tu. Inakera.

Tutumie namba ya simu PM tafadhali.Pole sana
 
simu yangu haijawahi kupata speed ya internet ya voda ya kuzidi 70+kbs/sec.Yaani hii ni speed ndogo kupita maelezo ninachohisi voda wameiminya kusudi ili kupunguza watumiaji wengi kwa wakati m'moja!
Hatuwezi kufanya hivyo Samcezar. Lengo letu ni kuwapatia wateja huduma bora kwa gharama nafuu pia, tafadhali tutumie namba PM, eneo ulilopo na simu unayotumia kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Namba yangu ni 0756435750.wailochukua pesa zangu ni vodashop bukoba fuatilia mnirudishie pesa zangu!!
 
Back
Top Bottom