Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa tunakuomba kama umeamua kuja hapa jf kutoa huduma kama hii na kuyajibu maswali kama unavyofanya tunaomba iwe endelevu sio unajibu mwezi huu tu , alafu unatokomea watu wanapost maswali hamna wa kuyajibu, msiwe kama yule invisible wa jf kuna mfululizo wa maswali kawasha moto ambao hana shughuli naoHabari ndugu mteja, tunapenda kukufahamisha kuwa endapo kadi ya simu haitotumika kwa muda wa siku 90 hufutwa na kurudisha sokoni, tumekuwa tukiwashauri wateja wetu wanaokwenda nje kuwa wajitahidi angalau kutuma japo SMS moja kila mwezi ili kuepuka suala hili.
Habari Mkwano, tafadhali tutumie nakala ya risiti uliyopewa pindi uliponunua modem hiyo kwa msaada zaidi. Pole sana
Habari dotnet tafadhali wasiliana nasi kwa msaada zaidi. Pole sana
mm kunakipindi nilipoteza cm nikaenda vodashop bukoba kurenew mhudumu akaniuliza pass word nikamwambia akasema pesa wamechukua nikamwambia anipe jina la aliechukua akakataa lkn ukweli walichukuwa wao voda!!

Huwezi amini sikupewa lisit zaidi namkumbuka kijana wa kihindi aliyeniuzia pale nyanza , sema inasikitisha kuona mnavunja imani kwa wateja mlio tumia garama nyingi kuwapata, modem ninayo ila nimeona bora nitumie wireless kwa kuunga simu , kuliko huu wizi wenu
Habari Kayabwe, namba ya siri hutakiwi kumpatia mtu yeyote na hata mfanyakazi wa Vodacom akikuomba usimpatie. Tafadhali tutumie taarifa zaidi kuhusu hili nasi tutashirikiana nawe.mm kunakipindi nilipoteza cm nikaenda vodashop bukoba kurenew mhudumu akaniuliza pass word nikamwambia akasema pesa wamechukua nikamwambia anipe jina la aliechukua akakataa lkn ukweli walichukuwa wao voda!!
Nimeshapiga sana huduma kwa wateja no response. Naweka credit 100,000/= kila mwezi lakini nikijiunga na bundle unashangaa ba salio la kawaida linatumika. Muda huu nimeangalia ni sh. 25 tu. Inakera.
Hatuwezi kufanya hivyo Samcezar. Lengo letu ni kuwapatia wateja huduma bora kwa gharama nafuu pia, tafadhali tutumie namba PM, eneo ulilopo na simu unayotumia kwa msaada zaidi.simu yangu haijawahi kupata speed ya internet ya voda ya kuzidi 70+kbs/sec.Yaani hii ni speed ndogo kupita maelezo ninachohisi voda wameiminya kusudi ili kupunguza watumiaji wengi kwa wakati m'moja!