Ahsante, tunawasiliana nawe kuhusu hili.0759440802
Ndugu yangu,kama mobile data iko on,the moment unaweka salio application zinarun/update hivyo kutumia salio lako si mtoa huduma for your case Vodacom, hivyo kama unasalio dogo kabla ya kuliweka de select mobile data,weka salio,jiunge na kifurushi then select again........Subiri nimeweka 1000 najiunga na chekabomba wanasema salio halitoshi ukicheki tena salio 897napont ukijiunga lands ya 800 haitoshi salio tena 756 napoint mpaka kero kasheshe wapigie watapokea kesho yake hawafai
Hapo PM ya nini wakati hili tatizo ni la wateja wote!!rekebisheni kwa wateja wenu wote sio kuomba no.
Pole sana, tafadhali tutumie namba hiyo PM tuiangalie katika mifumo yetu.Nipo nje ya nchi simu yenye simcard ya Vodacom niliisahau Tz nimewaomba walioko huko wa-recharge wanaambiwa(Vodacom) wanashindwa kuitambua number. Nini ninaweza kufanya ili line isiingizwe sokoni?
Habari Ngamba, tunapenda kukufahamisha kuwa mteja hawezi kutumia vifurushi vya Cheka akiwa nje ya Tanzania. Tafadhali fafanua ni kwa vipi vocha inakuwa imeharibika.Na si hilo tu yaani wakati mwingine natamani kuichoma moto laini ya voda uko safarini nchi jirani na unapokea sms inakueleza kuwa unaweza kupata airtime kwa kutumia local vocha(mtn uganda) unanunua vocha na kujaribu kuweka vocha KABANGI INAGOMA NA VOCHA IMESHAHARIBIKA HAIWEZI TENA TUMIKA, Hii imekuwa kero xana kwani, hivi kwa nini inakuwa hivyo???? Ave wasted a lots of my cash katika hili
Number yangu ni +255 752 898906
Najiunga na kifurush cha voda internet mia 5 au elfu moja lakini siwezi kuangalia mb ngapi zmebaki .kwanini ? Hasa cha mb 200 maana kina kikomo Tafadhali tunataka kujua hii
Kifurushi cha Tsh 500 kinachompatia mteja 200 MB sio cha bila kikomo. Tafadhali piga *149*01# chagua 1 kisha chagua Internet & BB na fuata muongozo. Ahsante
Habari flora msoffe utaratibu ni huo huo katika kuangalia salio, *149*01# chagua 1 kisha chagua Internet & BB ->Internet & BB10->Salio la KifurushiAcheni maneno point ni kujua Jins ya kuangalia Salio najua jinsi ya kujiunga NdO mana nazungumza na nyie sasa hivi