Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nilinunua umeme LUKU wa 10000 tangu tarehe 12/09/2014 mpaka leo sijapata Tokeni wala kurejeshewa fedha yangu
 
Subiri nimeweka 1000 najiunga na chekabomba wanasema salio halitoshi ukicheki tena salio 897napont ukijiunga lands ya 800 haitoshi salio tena 756 napoint mpaka kero kasheshe wapigie watapokea kesho yake hawafai
Ndugu yangu,kama mobile data iko on,the moment unaweka salio application zinarun/update hivyo kutumia salio lako si mtoa huduma for your case Vodacom, hivyo kama unasalio dogo kabla ya kuliweka de select mobile data,weka salio,jiunge na kifurushi then select again........
 
Hapo PM ya nini wakati hili tatizo ni la wateja wote!!rekebisheni kwa wateja wenu wote sio kuomba no.

kamanyora Mimi sina tatizo hilo usitusemee wateja wengine! Wewe kama una tatizo wape namba yako Pm ya wengine yaache! Kila mtu atasema mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
nawashauri mnapoanzisha ofa au promotion uoyote muwe mnatuma sms mara moja tu na kama mtu yuko interested na hizo mambo atajiunga sio mtu hata hajawahi kujiunga na hataki kujiunga ila mnakuwa mnatuma rundo la meseji, ibaboa sana kuwa naishia kufuta sms zenu kila baada ya dk chache.
Pia acheni tamaa ya hela sababu sijaona umuhimu wa ile delay time kabla hamjamnotify mtu kama bundle yake imeisha, unakuta mtu bundle linaisha saa 6:00 na sms analetewa saa 6:05 hii ni makusudi na ni wizi usiopendeza sababu mnamyendea hata salio la kubipia!!!!! aibu hii
 
Na si hilo tu yaani wakati mwingine natamani kuichoma moto laini ya voda uko safarini nchi jirani na unapokea sms inakueleza kuwa unaweza kupata airtime kwa kutumia local vocha(mtn uganda) unanunua vocha na kujaribu kuweka vocha KABANGI INAGOMA NA VOCHA IMESHAHARIBIKA HAIWEZI TENA TUMIKA, Hii imekuwa kero xana kwani, hivi kwa nini inakuwa hivyo???? Ave wasted a lots of my cash katika hili
Number yangu ni +255 752 898906
 
Nipo nje ya nchi simu yenye simcard ya Vodacom niliisahau Tz nimewaomba walioko huko wa-recharge wanaambiwa(Vodacom) wanashindwa kuitambua number. Nini ninaweza kufanya ili line isiingizwe sokoni?
 
Nipo nje ya nchi simu yenye simcard ya Vodacom niliisahau Tz nimewaomba walioko huko wa-recharge wanaambiwa(Vodacom) wanashindwa kuitambua number. Nini ninaweza kufanya ili line isiingizwe sokoni?
Pole sana, tafadhali tutumie namba hiyo PM tuiangalie katika mifumo yetu.
 
Najiunga na kifurush cha voda internet mia 5 au elfu moja lakini siwezi kuangalia mb ngapi zmebaki .kwanini ? Hasa cha mb 200 maana kina kikomo Tafadhali tunataka kujua hii
 
Na si hilo tu yaani wakati mwingine natamani kuichoma moto laini ya voda uko safarini nchi jirani na unapokea sms inakueleza kuwa unaweza kupata airtime kwa kutumia local vocha(mtn uganda) unanunua vocha na kujaribu kuweka vocha KABANGI INAGOMA NA VOCHA IMESHAHARIBIKA HAIWEZI TENA TUMIKA, Hii imekuwa kero xana kwani, hivi kwa nini inakuwa hivyo???? Ave wasted a lots of my cash katika hili
Number yangu ni +255 752 898906
Habari Ngamba, tunapenda kukufahamisha kuwa mteja hawezi kutumia vifurushi vya Cheka akiwa nje ya Tanzania. Tafadhali fafanua ni kwa vipi vocha inakuwa imeharibika.
 
naomba mfanye maboresho kwenye huduma ya cheka bombastic..
vifurushi viongezwe dakika nyingi na mb za kutosha..
ongezeni dakika za kupiga mitandao yote.. hii itafanya watu waupende zaidi mtandao wenu.. mfano kwa sh 500 mnaweza kufanya dk 20 kupiga mitandao yote na MB hata 200, most customers siku hizi wanatumia internet zaidi.
mfanye maboresho ya internet.. wekeni walau 3G kwenye miji midogo midogo... mfano sisi wa interior Hasa mikoa ya kusini kuna baadhi ya huduma tunasikilizia kwa wenzetu tu kama vile SIMTV.

asanteni..
 
Najiunga na kifurush cha voda internet mia 5 au elfu moja lakini siwezi kuangalia mb ngapi zmebaki .kwanini ? Hasa cha mb 200 maana kina kikomo Tafadhali tunataka kujua hii

Kifurushi cha Tsh 500 kinachompatia mteja 200 MB sio cha bila kikomo. Tafadhali piga *149*01# chagua 1 kisha chagua Internet & BB na fuata muongozo. Ahsante
 
Kifurushi cha Tsh 500 kinachompatia mteja 200 MB sio cha bila kikomo. Tafadhali piga *149*01# chagua 1 kisha chagua Internet & BB na fuata muongozo. Ahsante

Acheni maneno point ni kujua Jins ya kuangalia Salio najua jinsi ya kujiunga NdO mana nazungumza na nyie sasa hivi
 
'Umeunganishwa na huduma ya breaking news BURE kwa siku 7.Kujiondoa bonyeza 1'

Sender:NIPASHE.

Huu ndo ujumbe niliopotokea just from nowhere na nilipojaribu kujiondoa kwa kubonyeza hiyo 1naambiwa FAILED(nimerudia several times lkn IMEGOMA) na tayari nimetumiwa breaking news moja mpaka sasa.

NASEMA HIVI:
Sihitaji hizo breaking news na ninaomba mniondoe haraka,utaniunganishe bila ridhaa yangu halafu uning'ang'anie? Sio biashara kabisa na mkianza kunikata tu,NATUPA LINE MAANA HUU SIYO UTARATIBU.
 
Mbona voda kwenye huduma za sim banking... ukiamisha fedha kwenda voda au kununua luku inachelewa sana kuleta majibu tofauti na mitandao mingine???
 
Huyu 'Sender: Nipashe' kanitumia hiyo breaking news na karudia kanitumia mara 4..! Mimi sikujiunga na huduma hii na kweli ukijiondoa inagoma, au Vodacom nao wameanza!!
 
Kifurushi cha internet bila kikomo cha week ni wizi mtupu kama inawezekana kifutwe najua kinafaida kwenu ila ni kwakuwa mnatuibia mana ukijiunga yani hata ku download picha ni ngumu, huu ni wizi na mnafanya maksudi,
 
Acheni maneno point ni kujua Jins ya kuangalia Salio najua jinsi ya kujiunga NdO mana nazungumza na nyie sasa hivi
Habari flora msoffe utaratibu ni huo huo katika kuangalia salio, *149*01# chagua 1 kisha chagua Internet & BB ->Internet & BB10->Salio la Kifurushi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom