Ahsante kwa taarifa hizi, tafadhali tutumie namba ya simu PM.JIna: FRANK JOHN NGOWI
TIN:.116-495-104
LESSEN YA BIASHARA:B01496459-NAMBA YA STAKACTH 0178618
KITAMBULISHO NAMBA. D 0317653 JINA LA WAKALA MKUU: MANYIKA EZEKIEL MBOYA..
Vilevile Nilikuja Vodacom Mliman City tarehe 25/09/2014 huyo anaetumia line yangu akambiwa atoe fetha zake mpaka tarehe 1/10/2014 nirudi tarehe 4/10. Leo anapigiwa simu anasema hajapigiwa. Haki zetu ziko wap usoni mwa Vodacom?Kama mtanisaidia niweze kupata hyo line Ijumaa. Maana nimelipia Frem na sifanyi kazi.
Sitaki mnitumie ujumbe wa maandishi wala kunipigia simu za promosheni yenu Voda. Mnataka niwaambie Mara ngapi???
Kama kupiga simu huduma kwa wateja nilishapiga lakini bado hamsikii.
Namba gani unatumia mkuu??
Tunapiga namba hii haipokelewi.Manyika E. Mboya 0762913448.
I belive Vodacom does not negotiate with terorist.
Habari Gwaje,mrejesho kuhusu suala hili umefikishwa idara husika mkuu.Hivi nyie voda mnataka kuambia tuache kutumia huduma ya mpesa maana kutoa pesa au kuweka pesa bank kwa wakala unakatwa 0.25 ambapo kiasi hicho cha pesa ukimpatia mteja hupati kamisheni haifi hata nusu. Angalieni mpango wenu mpya huu unaua mawakala
nyie voda ni mambulula jana nimenunua simu zenu zile za promo mkasema mnatoa ofa ya internet gb 3 kumbe changa la macho mnanitumia eti vi mb 500 nitumie ndani ya siku 30 na limtandao lenu liko slow kwenye net balaa.asanteni narudi nilipokuwa simu nimempa housegirl kama zawadi ya kukaa na mwanangu.
Heshima yako Chief wa Kimweri, mafundi wetu wanaendelea kusambaza mtandao wa 3G katika maeneo ambayo bado huduma hii haijafika kwa sasa, tunaomba uvumilivu wako Chief.Nyie vodacom mbona Marangu 3g haikamati wakati ukishuka tu Himo ipo by the way Marangu ni mji wa kitalii mbona mko kiboya
Pole sana SNAP J, tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi.Sitaki mnitumie ujumbe wa maandishi wala kunipigia simu za promosheni yenu Voda. Mnataka niwaambie Mara ngapi???
Kama kupiga simu huduma kwa wateja nilishapiga lakini bado hamsikii.