Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

JIna: FRANK JOHN NGOWI
TIN:.116-495-104
LESSEN YA BIASHARA:B01496459-NAMBA YA STAKACTH 0178618
KITAMBULISHO NAMBA. D 0317653
STORE No: 072481
TILL No. 221135
MGT:221157

JINA LA WAKALA MKUU: MANYIKA EZEKIEL MBOYA (0762913448)

Vilevile Nilikuja Vodacom Mliman City tarehe 25/09/2014 huyo anaetumia line yangu akambiwa atoe fetha zake mpaka tarehe 1/10/2014 nirudi tarehe 4/10. Leo anapigiwa simu anasema hajapigiwa. Haki zetu ziko wap usoni mwa Vodacom??
 
JIna: FRANK JOHN NGOWI
TIN:.116-495-104
LESSEN YA BIASHARA:B01496459-NAMBA YA STAKACTH 0178618
KITAMBULISHO NAMBA. D 0317653 JINA LA WAKALA MKUU: MANYIKA EZEKIEL MBOYA..
Vilevile Nilikuja Vodacom Mliman City tarehe 25/09/2014 huyo anaetumia line yangu akambiwa atoe fetha zake mpaka tarehe 1/10/2014 nirudi tarehe 4/10. Leo anapigiwa simu anasema hajapigiwa. Haki zetu ziko wap usoni mwa Vodacom?Kama mtanisaidia niweze kupata hyo line Ijumaa. Maana nimelipia Frem na sifanyi kazi.
Ahsante kwa taarifa hizi, tafadhali tutumie namba ya simu PM.
 
Manyika E. Mboya 0762913448.
I belive Vodacom does not negotiate with terorist.
 
Voda mmetuchosha hivi huduma ya internet mmeipeleka wapi mbona hovyo sana nyie siku hizi
 
Hivi nyie voda mnataka kuambia tuache kutumia huduma ya mpesa maana kutoa pesa au kuweka pesa bank kwa wakala unakatwa 0.25 ambapo kiasi hicho cha pesa ukimpatia mteja hupati kamisheni haifi hata nusu. Angalieni mpango wenu mpya huu unaua mawakala
 
nyie voda ni mambulula jana nimenunua simu zenu zile za promo mkasema mnatoa ofa ya internet gb 3 kumbe changa la macho mnanitumia eti vi mb 500 nitumie ndani ya siku 30 na limtandao lenu liko slow kwenye net balaa.asanteni narudi nilipokuwa simu nimempa housegirl kama zawadi ya kukaa na mwanangu.
 
Nyie vodacom mbona Marangu 3g haikamati wakati ukishuka tu Himo ipo by the way Marangu ni mji wa kitalii mbona mko kiboya
 
Vodacom naomben i mnipe taarifa kipi kinaendelea baada ya kuwapa taarifa zangu????
 
Sitaki mnitumie ujumbe wa maandishi wala kunipigia simu za promosheni yenu Voda. Mnataka niwaambie Mara ngapi???
Kama kupiga simu huduma kwa wateja nilishapiga lakini bado hamsikii.
 
Sitaki mnitumie ujumbe wa maandishi wala kunipigia simu za promosheni yenu Voda. Mnataka niwaambie Mara ngapi???
Kama kupiga simu huduma kwa wateja nilishapiga lakini bado hamsikii.

Namba gani unatumia mkuu??
 
Hivi nyie voda mnataka kuambia tuache kutumia huduma ya mpesa maana kutoa pesa au kuweka pesa bank kwa wakala unakatwa 0.25 ambapo kiasi hicho cha pesa ukimpatia mteja hupati kamisheni haifi hata nusu. Angalieni mpango wenu mpya huu unaua mawakala
Habari Gwaje,mrejesho kuhusu suala hili umefikishwa idara husika mkuu.
 
Last edited by a moderator:
nyie voda ni mambulula jana nimenunua simu zenu zile za promo mkasema mnatoa ofa ya internet gb 3 kumbe changa la macho mnanitumia eti vi mb 500 nitumie ndani ya siku 30 na limtandao lenu liko slow kwenye net balaa.asanteni narudi nilipokuwa simu nimempa housegirl kama zawadi ya kukaa na mwanangu.

Habari KIMICHIO kifurushi kinatolewa kila mwezi ambapo utakuwa unapokea 500MB kila mwezi kwa miezi 6, pole sana tuambie mtandao unasumbua wapi tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Nyie vodacom mbona Marangu 3g haikamati wakati ukishuka tu Himo ipo by the way Marangu ni mji wa kitalii mbona mko kiboya
Heshima yako Chief wa Kimweri, mafundi wetu wanaendelea kusambaza mtandao wa 3G katika maeneo ambayo bado huduma hii haijafika kwa sasa, tunaomba uvumilivu wako Chief.
 
Sitaki mnitumie ujumbe wa maandishi wala kunipigia simu za promosheni yenu Voda. Mnataka niwaambie Mara ngapi???
Kama kupiga simu huduma kwa wateja nilishapiga lakini bado hamsikii.
Pole sana SNAP J, tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Ok sawa boss ila sasa mf ukinitumia picha mpaka ni drop Himo ndo zinafunguka fasta ila to honest yaani nje kwangu tigo 3g pambaneni mtupatie coz hata nyie mtauza sana bandos by the much respect VODA COM kazi ni kwako
 
Vodacom Tanzania mbona nikijaribu kukopa hela MPAWA naanbiwe nikapeleke vitambulisho vyangu ofisi zenu wakati nimeenda mara mbili kujisajili na mpawa, ila mnazingua kunikopesha na kila siku mnanitumia text za kiwango ninichoruhusiwa kukopa cjui tatizo nini, my namba ni 0757915043
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom