Ndugu mteja,Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.KaribuVodacom Tanzania