deepsea
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 3,287
- 944
Voda swap za lain za uwakala zinachelewa kuna lain tulileta pale zilipotea na documents zake tukakabidhi kwa yule dada anaitwa joyce na kabla ya hapo swap zilikuwa zinachukua 3-4 days sasa mpaka leo ni zaidi ya wiki sasa huu si ni wehu muda wote huu kazi haifanyika sasa huu si ujinga hasara kiasi gani mnatupatia huduma za swap hapo makao makuu hovyo mnachelewesha lain sana mimi ninavyojua swap ni kitendo cha muda mfupi sana hata dakika 30 haziishi,kama utaniona mzushi ongea na mawakala wakuu watakwambieni au fika pale uliza watu waliopo waliokujakufatilia laini waulize zina muda gani toka wamezileta utapa majibu.