Hao jamaa wa mlimani city hasa wanaohusika na data ni matapeli wa hawajui kilichowaweka pale bora wasiwepo hawana msaada wowote wanakula mshahara bure
Pole sana hippocratessocrates tafadhali tusaidie namba ya simu kwa msaada zaidi. Mteja huombwa kupiga simu baada ya muda kwasababu taarifa za matumizi zinakuwa bado haijaingia kwenye mifumo yetu.Mkuu mimi nimeomba msaada, naambiwa tutafute tena baada ya saa moja na nusu!Sasa unajiuliza ndani ya muda huu yeye kama mhudumu anafanya nini? Mimi kama mteja anategemea niendelee ku_hold shida yangu kwa saa moja na nusu zaidi? Muda huo niwe ninafanya nini?
Hii tabia inakera na inakera sana.
Ondoa shaka ndugu mteja, hii ni akaunti ya Vodacom Tanzania na iko VERIFIED. Kuhusu tatizo lako tungeomba kupata taarifa kwa msaada zaidi.Mimi kwa jinsi nisivyoshughulikiwa tatizo langu hata namba wakisema nitume PM situmi maana napata mashaka hata tunaowasiliana nao hapa jukwaani labda sio wenyewe VODACOM coz nilipopiga simu kutoa matatizo ya kukatwa kifulushi changu cha mwezi mzima bila kukitumia nikaambiwa naunganishwa na watu wa makao makuu na watanipigia muda si mrefu,sasa ni wiki sijapata call yao na pesa ya kifulushi wamebeba
High Vampire hii hutokea pindi mteja anapohamisha wimbo kutoka kwa aliyempigia kwenda kwake. Kujiondoa andika SMS yenye neno ONDOA tuma kwenda 15577.Mimi sina mengi sana nashukuru kwa kujitokeza hapa kwa nini niunganishwe na huduma ya mziki bila ridhaa yangu inauma sana
High Vampire hii hutokea pindi mteja anapohamisha wimbo kutoka kwa aliyempigia kwenda kwake. Kujiondoa andika SMS yenye neno ONDOA tuma kwenda 15577.
Bundles na vifurushi.
Mara napata msg ya bundle imeisha nilinunua inaniambia bado nomejiunga. Msg inaingoa ingine bundle imeisha. Nikiacha hela zote ambazo haziko kwny vifurushi zinaliwa.
Utaratibu wa kutuma notifications ukoje? Tufundishe kuzielewa tusiingie hasara
Habari Haika, tafadhali tueleze lini ulipata tatizo hili na tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi.Bundles na vifurushi.
Mara napata msg ya bundle imeisha nilinunua inaniambia bado nomejiunga. Msg inaingoa ingine bundle imeisha. Nikiacha hela zote ambazo haziko kwny vifurushi zinaliwa.
Utaratibu wa kutuma notifications ukoje? Tufundishe kuzielewa tusiingie hasara
Kwa uelewa wangu hawa jamaa wez sana unachotakiwa kufanya disable connection kabla hujaweka vocha maana ukiwa enable connection ukiweka vocha bas wanailamba kabla hata hujanunua kifurushi
Voda swap za lain za uwakala zinachelewa kuna lain tulileta pale zilipotea na documents zake tukakabidhi kwa yule dada anaitwa joyce na kabla ya hapo swap zilikuwa zinachukua 3-4 days sasa mpaka leo ni zaidi ya wiki sasa huu si ni wehu muda wote huu kazi haifanyika sasa huu si ujinga hasara kiasi gani mnatupatia huduma za swap hapo makao makuu hovyo mnachelewesha lain sana mimi ninavyojua swap ni kitendo cha muda mfupi sana hata dakika 30 haziishi,kama utaniona mzushi ongea na mawakala wakuu watakwambieni au fika pale uliza watu waliopo waliokujakufatilia laini waulize zina muda gani toka wamezileta utapa majibu.
Ahsante kwa ufafanuzi huu, lakini ni kwamba huduma za Intaneti zinakuwa ON hivyo simu ndiyo inatumia salio mara baada ya kuwekwa.
Habari LORDVILLE ujumbe unaotoa taarifa kuwa kifurushi kimeisha hutumwa kwa mteja. Tufahamishe endapo hupokei ujumbe huo.Kwanin msiweke alert ya kumjulisha mtu kama salio limeisha??? Na msilete siasa za haiwezekan..mbona tigo wanajulisha zikiwa zimebaki 2MB!!! Au nyie mnaleta UJAMBAZI TU??
Hili limenikuta sahivi Mimi,halafu bando halikai hata kidogo,sidownload wala siruhusu back ground application kuoperateHabari Haika, tafadhali tueleze lini ulipata tatizo hili na tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi.