Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani jana jioni nilienda kwa wakala wa m pesa nikamuwekea dogo laki 5 kwenye namba yake,leo amesafiri kafika mahali atoe pesa haioni,na wakati jana mi nilishuhudia msg ya salio imeingia, plz nisaidie huyu wakala ni mwizi au
Habari Easymutant mara nyingi hii hutokea pindi mteja anapokuwa amejiunga na zaidi ya kifurushi kimoja hivyo kifurushi cha awali kinapokwisha mteja anadhani ni kifurushi kipya alichojiunga nacho. Inapotokea hali hii tafadhali piga *147# kuangalia salio. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.Kwa wiki nzima nimekuwa nikinunua vifurushi vya Cheka bombastiki lakini Hii imezidi.
Jana nimenunu Kifurushi cha kutosha name sins matumizi ya kukimaliza hata Kwa Siku tank.
Hongera!Umenunua Dakika 400 za kupiga mitandao yote,SMS 1500 mitandao yote TZ na 1024MB zitumike hadi 2014-08-10.Piga *147# kujua salio.
Na Leo mchana wananitumia kwamba kimekwisha.
Ndugu mteja, kifurushi chako cha Cheka kimekwisha. Furahia dk 30 kwa Tsh.495 tu saa 24.Kununua piga *149*01# na chagua Cheka Zogo.
Nimempigia customer care akajitambulisha Kwa jima La Ally hakuwa name msaada wa aina yoyote..
Goodbye Vodacom.
Habari Easymutant mara nyingi hii hutokea pindi mteja anapokuwa amejiunga na zaidi ya kifurushi kimoja hivyo kifurushi cha awali kinapokwisha mteja anadhani ni kifurushi kipya alichojiunga nacho. Inapotokea hali hii tafadhali piga *147# kuangalia salio. Tunaomba namba yako ya simu PM kwa msaada zaidi.
Tutumie namba ya simu na tuambie lini ulipata tatizo hili. AhsanteNami pia nimekumbana na hill tatizo
Kwa wiki nzima nimekuwa nikinunua vifurushi vya Cheka bombastiki lakini Hii imezidi.
Jana nimenunu Kifurushi cha kutosha name sins matumizi ya kukimaliza hata Kwa Siku tank.
Hongera!Umenunua Dakika 400 za kupiga mitandao yote,SMS 1500 mitandao yote TZ na 1024MB zitumike hadi 2014-08-10.Piga *147# kujua salio.
Na Leo mchana wananitumia kwamba kimekwisha.
Ndugu mteja, kifurushi chako cha Cheka kimekwisha. Furahia dk 30 kwa Tsh.495 tu saa 24.Kununua piga *149*01# na chagua Cheka Zogo.
Nimempigia customer care akajitambulisha Kwa jima La Ally hakuwa name msaada wa aina yoyote..
Goodbye Vodacom.
Mhhh!!!! nilizani ni mimi tu, kumbe wengi basi hii ndiyo utaratibu wao tutauzoea tu.
Ndio wawekezaji wetu hao