Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Hata hivyo una moyo sana maana umechelewa kuivunjavunja.
 
U man u use tigo o ea tel.?me all of them idnt like iam waited for viettel idnt knw when it come now i use ttcl the table phone for called ppeople whenever iam needed them.

Even I'm also surprise when I putted vocha in my line voda, it didn't lived, for example that bundle of 500, I were gave 20 minute but I spoked for 2 minute and voda send me a messages that my bundle is finished completely! I wondoring very!

Cc Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Habari Makaura, tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi.

Nyie mnatuibia sana hela zetu unaweka kifurushi cha wiki cku 3 kimeishaa huo ni uwizi tena wa kibwege mimi monthly natumia zaidi ya 30000thou tena voda kwavoda,nawavutia kasi nihame mana mnaiba mpka basiii
 
Last edited by a moderator:
Kwa mawazo kama haya tutaendelea kuibiwa na kunyanyaswa.
Haya ni mawazo ya mtu primitive. Huwezi kuwa umedhulumiwa halafu uje na mawazo barafu kama haya halafu useme utapata stahili yako.
Rudi darasani

Sifa kuu ya binadamu ni kutofautiana mawazo na ndio maana kuna mikutano na forum kama hizi ili kama mtu ana mawazo tofauti aweze kusema alafu mwisho wa siku tunasema wazo la flani ni zuri, unaposema nirudi shule inaonyesha namna gani elimu yako haijakusaidia kwani sifa kuu ya msomi ni kuitumia elimu yake kuleta mabadiliko kwa jamii anayoishi na sio kuleta kejeli na ndio maana pamoja na kwamba wanasheria wamesoma 4 years plus law school lakini bado wanakaa na wazee wa mahakama kwa ajili ya kusaidia kutoa hukumu (usiamini sana kwenye shule ila itumie shule yako kuwabadilisha wenzako kwa angalau hata kuuliza nilikuwa ninamaanisha nini badala ya kuniita primitive, the first line and second line was joke lakini mstari uliofuata ndio mchango wangu kwani naamini si kila kitu kiende mahakamani kwani kuna mamlaka zinazosimamia shughuli mbalimbali hivyo kama hilo tatizo limetokea kinachotakia tu ni action na mtu kurudishiwa haki yake ya awali kwa kuwa hata mie ni mhanga wa hii kitu na nilishafuatilia sana)

Soma uelewe msomi uliekalili kila kitu una link na kwenda darasani kuna vitu vingine vinaendeshwa hata kama ukiwa na elimu ya jadi unaweza kumaliza

Soma vizuri nilichosema hapo chini;

Key board imeteleza au unamaanisha utachangia mawazo maana mie ndio mkusanyaji wa hela za wakili, kwa ujumla jamaa wasanii hawa alafu ukiwaendea wanachulia simple kabisa line yako amepewa mtu mwingine ingia hapo andikisha line nyingine. Alafu vitu vingine si lazima kwenda mahakamani ifike mahala serikali itusimamie kwa kuweka dawati maalumu za case hizi kujadiliwa na watu maamlumu kisha wanafanya maamuzi maana na mahakama zetu milolongo kibao ukichanganya na wakili wetu kupenda kuangalia weakness point wakati wa kufungua madai na kuikomalia ili mradi siku ziende na wewe ukate tamaa
 
Gefu katika usajili namba hiyo ni ya mteja mwingine kwa sasa, hamuitumii bali ipo katika nyaraka zenu, ingekuwa vyema kama kijana wako angewafahamisha watu aliokuwa anawasiliana nao kuwa kwa sasa hatumii tena namba hiyo nanyi mna jukumu la kubadilisha(update) namba katika taarifa zenu muhimu na nyeti ili kuepuka na hasara inayoweza kujitokeza.
Kuna tatizo lingine kwa mtu anapopewa namba ya mtu mwingine, kwenye usajiri unakuta jina la huyo mhusika wa kwanza linaendelea kutumika especially mtu anapotuma M-pesa, mie mwenyewe kuna namba nilikuwa naitumia kwa ajili ya moderm bahati mbaya na promotion zenu na simu za kisasa zinaweza kutumika kama moderm nikawa siitumii sana na mwisho wa siku ikagawiwa kwa mtu mwingine na mtu akituma Pesa inasoma jina langu kwanza alafu aki-confirm tu linakuja jina la mmilki mpya (yaani umetuma kiasi kadhaa kwa flani flani wakati mwanzo kabla ya ku-confirm liliandika jina let say Jodoki alafu baadae ukikubali linakuja let say Gefu), kwa mtaji huu lazima mtu ataingia mkenge kwa kudhani anamtumia yule aliekusudia kwa kuwa jina limeonekana mara ya kwanza). Mjitahidi mtumie utaratibu wa zamani akaunti inakuwa active mwaka mzima kutokana na mtu anavyo recharge voucher maana kuna mtu akaugua more than 3 months inakuwa shida hapa especially kwa namba ambazo zina salio na Mpesa pia kwa Watanzania walio wengi ndio namba zao zipo kwenye mabenk na taasisi muhimu unapompa mtu mwingine ndani ya miezi 3 inakuwa shida)
 
Last edited by a moderator:
Hawa voda wapuuzi,nimenunu kifurushi mitandao yote,bado nina dakika 8 zimebaki,sms 180 na 100mb!natwanga simu nashangaa hata dakika hawajagusa wamekomba salio lililobaki!nimewachoka
Mtashangaa sana, kwani hamjui kuwa yule jamaa wa Richmond keshachukua chake na wao voda wamebaki watupu. Sasa wanatafuta mapato kwa nguvu mpaka wanaibia watu
 
Duh... komaa nao hao, wamezidi utapeli hao jamaa.

Utapeli wao hauishii kwenye line za simu tu, ukija kwenye vifurushi vya Chekabombastik, hasa hasa kwenye vifurushi vya masaa 24, usishangae ukawa umenunua kifurushi cha masaa 24, baada ya nusu saa tu, na hujaongea na mtu yeyote yule, ukashtukia unapokea meseji ya kukujulisha kuwa kifurushi chako kimeisha muda wake!!

Hivi kumbe hili tatizo linawakumba hata nyie? Nilidhani ni mimi tu!!!
 
Gefu katika usajili namba hiyo ni ya mteja mwingine kwa sasa, hamuitumii bali ipo katika nyaraka zenu, ingekuwa vyema kama kijana wako angewafahamisha watu aliokuwa anawasiliana nao kuwa kwa sasa hatumii tena namba hiyo nanyi mna jukumu la kubadilisha(update) namba katika taarifa zenu muhimu na nyeti ili kuepuka na hasara inayoweza kujitokeza.

Bado hujajibu swali la msingi ndg Voda. Kwa nini mnasajili namba moja kwa mteja zaidi ya mmoja?
 
Last edited by a moderator:
sio voda tu mume wangu ametumia tigo line long time kama sio 6/7 years juzi imeanza kupoteza network mara haisomi
kwenda tigo shop wanasema sio line yake akawauliza ya nani wakasema ni ya mtu anaitwa ELIZABE
akawatupia line yao akaondoka akahamia kwingine
hawa voda ,tigo ,zantel na airtel hawajui kuwa kuna
viettel na Smart wamekuja wameshajiona sana subirini

hao tigo ndio vimeo kabisa.. unashangaa salio linaisha tu lenyewe. nilishaacha kutumia line yao kabisa.
hiyo mitandao mingne ijitahidi kukabiliana na hizi challenges.
 
Habari Gefu, baada ya uchunguzi ni kwamba namba uliyotupatia kwa sasa inamilikiiwa na mteja XXXXX tangu 2014-06-23 saa 11 dakika 34 jioni ambapo hapo kabla mmiliki wa namba hii uliyemtaja hakuitumia kwa zaidi ya siku 90 hivyo ilifutwa kulingana na sera kisha kurudishwa tena sokoni kama laini (kadi) mpya.

Namba hii ilifutwa akaunti ya M-Pesa ikiwa na 8696.00 Tshs ambapo mteja atatakiwa kufika Vodashop kujaza fomu kama tulivyofahamishana katika jibu letu la awali. Ahsante sana

lakini na nyie mnafutaje namba kimya kimya bila kumshirikisha mteja? kwani kwenye zile forms si huwa tunajaza namba zingne tunazotumia mpaka email address. mlishindwa vipi kumtafuta? halafu siku 90 ni chache sana... pengine mtu ana project vijijini huko na hakuna network. atleast namba zisizotumika mwaka mzima ndio mngekuwa mnazifuta. kwani mmeishiwa namba za kuwapa wateja au?
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi yamenikuta sana ila mama yangu jana amesikitika sana baada ya kuweka cheka zogo ili anipigie, badala yake mimi nikapiga tulipokata na msg ikaingia kwake eti cheka zogo imeisha, hata nusu saa haijaisha na hajapiga hata simu moja.

akanipigia kuniuliza kama ni yeye aliepiga na amesahau! alisema sana hadi hela mpya alioweka ikaisha kwa hasira!!!

Hahhaaa daaah mpe pole sana mama. Mi mwenyewe kiukweli naipenda sana Voda lakini kwa mtaji huu nitawachoka sasa.
 
lakini na nyie mnafutaje namba kimya kimya bila kumshirikisha mteja? kwani kwenye zile forms si huwa tunajaza namba zingne tunazotumia mpaka email address. mlishindwa vipi kumtafuta? halafu siku 90 ni chache sana... pengine mtu ana project vijijini huko na hakuna network. atleast namba zisizotumika mwaka mzima ndio mngekuwa mnazifuta. kwani mmeishiwa namba za kuwapa wateja au?

Swali zuri

VODACOM NJOO ULIJIBU...>>
 
Habari bahati, tumekutumia PM kwa msaada zaidi. Ahsante

Sisi ambao tumewahama mnatunza taarifa zetu za nini? We have the right to be forgotten, au zile tuhuma kwamba mtandao wenu umeunganishwa, kutumiwa, na mna ushirika mkubwa na usalama wa taifa ili uwarekodi wale wote wanaoutumia kuwasiliana ni kweli?
 
Last edited by a moderator:
lakini na nyie mnafutaje namba kimya kimya bila kumshirikisha mteja? kwani kwenye zile forms si huwa tunajaza namba zingne tunazotumia mpaka email address. mlishindwa vipi kumtafuta? halafu siku 90 ni chache sana... pengine mtu ana project vijijini huko na hakuna network. atleast namba zisizotumika mwaka mzima ndio mngekuwa mnazifuta. kwani mmeishiwa namba za kuwapa wateja au?

Nimeipenda sana comment yako nilishapata kuwapa mapendekezo kama hayo hayo wakanijibu wao wanafanya biashara

Makampuni haya yameingiwa na tamaa saasa hivi na hawajui wanadrain out wateja wao na kujikosesha mapato
 
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.

Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.

Swali langu kwako VODACOM..!!

MNAFUNGAJE LINE YA MTU IKIWA INA HELA M-PESA??
HAMJIULIZA TU ...TOKA LINI MTU ATUPE LINE INA HELA NDANI ZAIDI YA KUTOKUWEPO HEWANI KWA MUDA??

HAPO TU NDIPO MNAPO TUCHOSHA! KI MSINGI KUWA NA HELA KWENYE SIMU ILIFAA IWE DHAMANA TOSHA YA KUTOIFUNGA LINE.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hapa nilipo nacheka eti VODACOM NJOO UJIBU!

Na hili kwamba wana disclose information za wateja directly TISS limenitisha, yaani wanashare database na TISS endapo watapata mteja mpya akijisajili kwa wakala at the same time unakuwa umejisajili TISS, simu zako, sms zote wanakuwa nazo
 
Kuna tatizo lingine kwa mtu anapopewa namba ya mtu mwingine, kwenye usajiri unakuta jina la huyo mhusika wa kwanza linaendelea kutumika especially mtu anapotuma M-pesa, mie mwenyewe kuna namba nilikuwa naitumia kwa ajili ya moderm bahati mbaya na promotion zenu na simu za kisasa zinaweza kutumika kama moderm nikawa siitumii sana na mwisho wa siku ikagawiwa kwa mtu mwingine na mtu akituma Pesa inasoma jina langu kwanza alafu aki-confirm tu linakuja jina la mmilki mpya (yaani umetuma kiasi kadhaa kwa flani flani wakati mwanzo kabla ya ku-confirm liliandika jina let say Jodoki alafu baadae ukikubali linakuja let say Gefu), kwa mtaji huu lazima mtu ataingia mkenge kwa kudhani anamtumia yule aliekusudia kwa kuwa jina limeonekana mara ya kwanza). Mjitahidi mtumie utaratibu wa zamani akaunti inakuwa active mwaka mzima kutokana na mtu anavyo recharge voucher maana kuna mtu akaugua more than 3 months inakuwa shida hapa especially kwa namba ambazo zina salio na Mpesa pia kwa Watanzania walio wengi ndio namba zao zipo kwenye mabenk na taasisi muhimu unapompa mtu mwingine ndani ya miezi 3 inakuwa shida)

Wapuuzi sana Vodacom, pale wanapo funga na kugawa line yako salio la M Pesa ndo chakula chao, kama Vodacom anabisha, atuambie ni wateja wangapi wamewatafuta na kuwarejeshea fedha zao.

Binafsi ninawachukia kama kinyesi kwakweli siwapendi kabisa hao wadudu, kama wagekuwa ni watu wenye kuwajali wateja wangewek utaratibu wa kuomba mawazo ya wateja kabla ya kufanya mabadiliko ya kimifumo na hasa ile inayowagusa moja kwa moja wateja.
 
Last edited by a moderator:
Vodacom kweli ni vilaza yaani hamkufikiria kuwa mtu anaweza safiri nje ya nchi akakaa hata miezi mnee then akarudi so namba yake mnakuwa mmetaifisha sasa hakuna maana ya kusajili line me I thought nikiisajili ndo yangu daima.Hivi mnatumia kichwa kuwaza au?
 
Back
Top Bottom