Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U man u use tigo o ea tel.?me all of them idnt like iam waited for viettel idnt knw when it come now i use ttcl the table phone for called ppeople whenever iam needed them.
Habari Makaura, tafadhali tunaomba namba ya simu PM kwa msaada zaidi.
Kwa mawazo kama haya tutaendelea kuibiwa na kunyanyaswa.
Haya ni mawazo ya mtu primitive. Huwezi kuwa umedhulumiwa halafu uje na mawazo barafu kama haya halafu useme utapata stahili yako.
Rudi darasani
Kuna tatizo lingine kwa mtu anapopewa namba ya mtu mwingine, kwenye usajiri unakuta jina la huyo mhusika wa kwanza linaendelea kutumika especially mtu anapotuma M-pesa, mie mwenyewe kuna namba nilikuwa naitumia kwa ajili ya moderm bahati mbaya na promotion zenu na simu za kisasa zinaweza kutumika kama moderm nikawa siitumii sana na mwisho wa siku ikagawiwa kwa mtu mwingine na mtu akituma Pesa inasoma jina langu kwanza alafu aki-confirm tu linakuja jina la mmilki mpya (yaani umetuma kiasi kadhaa kwa flani flani wakati mwanzo kabla ya ku-confirm liliandika jina let say Jodoki alafu baadae ukikubali linakuja let say Gefu), kwa mtaji huu lazima mtu ataingia mkenge kwa kudhani anamtumia yule aliekusudia kwa kuwa jina limeonekana mara ya kwanza). Mjitahidi mtumie utaratibu wa zamani akaunti inakuwa active mwaka mzima kutokana na mtu anavyo recharge voucher maana kuna mtu akaugua more than 3 months inakuwa shida hapa especially kwa namba ambazo zina salio na Mpesa pia kwa Watanzania walio wengi ndio namba zao zipo kwenye mabenk na taasisi muhimu unapompa mtu mwingine ndani ya miezi 3 inakuwa shida)Gefu katika usajili namba hiyo ni ya mteja mwingine kwa sasa, hamuitumii bali ipo katika nyaraka zenu, ingekuwa vyema kama kijana wako angewafahamisha watu aliokuwa anawasiliana nao kuwa kwa sasa hatumii tena namba hiyo nanyi mna jukumu la kubadilisha(update) namba katika taarifa zenu muhimu na nyeti ili kuepuka na hasara inayoweza kujitokeza.
Mtashangaa sana, kwani hamjui kuwa yule jamaa wa Richmond keshachukua chake na wao voda wamebaki watupu. Sasa wanatafuta mapato kwa nguvu mpaka wanaibia watuHawa voda wapuuzi,nimenunu kifurushi mitandao yote,bado nina dakika 8 zimebaki,sms 180 na 100mb!natwanga simu nashangaa hata dakika hawajagusa wamekomba salio lililobaki!nimewachoka
Duh... komaa nao hao, wamezidi utapeli hao jamaa.
Utapeli wao hauishii kwenye line za simu tu, ukija kwenye vifurushi vya Chekabombastik, hasa hasa kwenye vifurushi vya masaa 24, usishangae ukawa umenunua kifurushi cha masaa 24, baada ya nusu saa tu, na hujaongea na mtu yeyote yule, ukashtukia unapokea meseji ya kukujulisha kuwa kifurushi chako kimeisha muda wake!!
Gefu katika usajili namba hiyo ni ya mteja mwingine kwa sasa, hamuitumii bali ipo katika nyaraka zenu, ingekuwa vyema kama kijana wako angewafahamisha watu aliokuwa anawasiliana nao kuwa kwa sasa hatumii tena namba hiyo nanyi mna jukumu la kubadilisha(update) namba katika taarifa zenu muhimu na nyeti ili kuepuka na hasara inayoweza kujitokeza.
sio voda tu mume wangu ametumia tigo line long time kama sio 6/7 years juzi imeanza kupoteza network mara haisomi
kwenda tigo shop wanasema sio line yake akawauliza ya nani wakasema ni ya mtu anaitwa ELIZABE
akawatupia line yao akaondoka akahamia kwingine
hawa voda ,tigo ,zantel na airtel hawajui kuwa kuna
viettel na Smart wamekuja wameshajiona sana subirini
Habari Gefu, baada ya uchunguzi ni kwamba namba uliyotupatia kwa sasa inamilikiiwa na mteja XXXXX tangu 2014-06-23 saa 11 dakika 34 jioni ambapo hapo kabla mmiliki wa namba hii uliyemtaja hakuitumia kwa zaidi ya siku 90 hivyo ilifutwa kulingana na sera kisha kurudishwa tena sokoni kama laini (kadi) mpya.
Namba hii ilifutwa akaunti ya M-Pesa ikiwa na 8696.00 Tshs ambapo mteja atatakiwa kufika Vodashop kujaza fomu kama tulivyofahamishana katika jibu letu la awali. Ahsante sana
Hata mimi yamenikuta sana ila mama yangu jana amesikitika sana baada ya kuweka cheka zogo ili anipigie, badala yake mimi nikapiga tulipokata na msg ikaingia kwake eti cheka zogo imeisha, hata nusu saa haijaisha na hajapiga hata simu moja.
akanipigia kuniuliza kama ni yeye aliepiga na amesahau! alisema sana hadi hela mpya alioweka ikaisha kwa hasira!!!
lakini na nyie mnafutaje namba kimya kimya bila kumshirikisha mteja? kwani kwenye zile forms si huwa tunajaza namba zingne tunazotumia mpaka email address. mlishindwa vipi kumtafuta? halafu siku 90 ni chache sana... pengine mtu ana project vijijini huko na hakuna network. atleast namba zisizotumika mwaka mzima ndio mngekuwa mnazifuta. kwani mmeishiwa namba za kuwapa wateja au?
Habari bahati, tumekutumia PM kwa msaada zaidi. Ahsante
lakini na nyie mnafutaje namba kimya kimya bila kumshirikisha mteja? kwani kwenye zile forms si huwa tunajaza namba zingne tunazotumia mpaka email address. mlishindwa vipi kumtafuta? halafu siku 90 ni chache sana... pengine mtu ana project vijijini huko na hakuna network. atleast namba zisizotumika mwaka mzima ndio mngekuwa mnazifuta. kwani mmeishiwa namba za kuwapa wateja au?
Habari Gefu, endapo namba hii aliitumia kwa muda kisha akaacha kuitumia kwa zaidi ya miezi 3 namba hufutwa taarifa za awali na pesa yake inatunzwa akaunti maalum ambapo mteja atatakiwa kwenda Vodashop kujaza fomu na atapatiwa pesa kwenye namba mpya atakayokuwa ameijaza katika fomu.
Tunaomba namba ya simu kwa msaada zaidi tafadhali.
Swali zuri
VODACOM NJOO ULIJIBU...>>
Jamani hapa nilipo nacheka eti VODACOM NJOO UJIBU!
Kuna tatizo lingine kwa mtu anapopewa namba ya mtu mwingine, kwenye usajiri unakuta jina la huyo mhusika wa kwanza linaendelea kutumika especially mtu anapotuma M-pesa, mie mwenyewe kuna namba nilikuwa naitumia kwa ajili ya moderm bahati mbaya na promotion zenu na simu za kisasa zinaweza kutumika kama moderm nikawa siitumii sana na mwisho wa siku ikagawiwa kwa mtu mwingine na mtu akituma Pesa inasoma jina langu kwanza alafu aki-confirm tu linakuja jina la mmilki mpya (yaani umetuma kiasi kadhaa kwa flani flani wakati mwanzo kabla ya ku-confirm liliandika jina let say Jodoki alafu baadae ukikubali linakuja let say Gefu), kwa mtaji huu lazima mtu ataingia mkenge kwa kudhani anamtumia yule aliekusudia kwa kuwa jina limeonekana mara ya kwanza). Mjitahidi mtumie utaratibu wa zamani akaunti inakuwa active mwaka mzima kutokana na mtu anavyo recharge voucher maana kuna mtu akaugua more than 3 months inakuwa shida hapa especially kwa namba ambazo zina salio na Mpesa pia kwa Watanzania walio wengi ndio namba zao zipo kwenye mabenk na taasisi muhimu unapompa mtu mwingine ndani ya miezi 3 inakuwa shida)