Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana Elisha, upo eneo gani tafadhali. Tunajitahidi kurekebisha changamoto hizi mara tu zinapotokea ili kuwapatia huduma bora wateja wetu.Mimi kwakweli .mnaniboa sikuizi huduma zenu siyo kama mwanzo kwa mfano intanet inasumbua sana
Ahsante kwa kutuandikia Dr. MOSHI, tunapenda kukufahamisha kuwa utaratibu ulibadilika baada ya Kampuni washirika kuweka tozo katika huduma hizi.Mimi nko Maputo nchini Mozambique. Nakumbuka wakat nafika huku nliweza kuwasiliana name ndugu zangu walioko tz bla shida. Ila baada ya mda mlitufungia huduma name kutuwekea masharti magumu kwamba anayenpgia lazma awe na vocha name mm pia niwe nayo alafu gharama tunatozwa wrote. Embu turudishien mawasiliano kama ilivyokuwa mwanzo.
Habari Kuhanda, tunawasiliana nawe punde kwa msaada zaidi. Kuhusu kukatwa pesa unapoweka salio tafadhali hakikisha umezima huduma za Intaneti katika kifaa chako, weka salio kisha nunua kifurushi halafu washa huduma za Intaneti. AhsanteNaitwa michael shija 0755 672 777 tatizo langu kubwa ni kukatwa pesa kila ninapoweka salio, kingine naomba sitisho la kupokea sms km simu tv. Na cha mwisho naomba mnifungulie huduma ya mpesa ilishafungwa
Aisee hii huduma ya M PAWA me naona mnanichanganya tu. Nilijiunga na nikawa naweka pesa vizuri tu sasa ìkaja kwenye issue ya kuweza kukopa naambiwa sijui sijakamilisha usajili. Nikaenda vodashop nikaacha kitambulisho na number yangu wakasema baada ya week mpaka sasa ni miezi miwili tatizo lipo pale pale sasa mimi sijui hiyo m pawa upande wa kutaka kukopa ni uongo hakuna mkopo au tatizo ni nini? Maana mimi kutoka nilipo mpaka kuipata vodashop inanigharibu pesa kidogo kufika uko... 0757098185
Pole sana mkuu na tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza,tafadhali bofya hapa kukamilisha usajili wako http://goo.gl/G88p8K hauhitaji kufika Vodashop.
Naomba ufafanuzi wa hizi bundle zenu mfano mtu ananunua kifurushi ambacho nyie wenyewe mmemwambia INTERNET BILA KIKOMO cha kushangaza kabla ya muda wa kile kifurushi kuisha muda wake mnamtumia sms mkisema sijui kafikisha kiwango cha mb kadhaa sasa atumie internet kwa speed ya kawaida..mbona mambo ya speed ya kawaida cjui mb ngapi hamkuyaweka kwenye maelezo ya kununua kifurushi??? Mfano;
1. Intaneti BILA KIKOMO kimewezeshwa mpaka 2014-11-05 12:41:55. Furahia video za moja kwa moja na peruzi intaneti! Soka laivu kwenye SIMU.tv. Dial *149*01#.
2. Umefikia kiwango cha 1024MB.Endelea kutumia kwa kasi ndogo hadi tar ya mwisho. Internet Bila kikomo ni Tsh 20,000/mwezi. Kununua piga *149*01*75#.
Naomba kujua hii ni kitu gani hasa??
Pole sana Joe5, kuhusu mazungumzo kurekodiwa usiwe na shaka kwani simu zetu za huduma kwa wateja hurekodiwa ili kuboresha huduma zetu. Tufahamishe lini ulipiga simu hiyo na kitengo husika kitashughulikia suala hili.Nine renew line yangu vizuri.nikaambiwa mpesa itawezeshwa baada ya masaa kadhaa.hadi Leo bado na nishapoga simu sana customer care ila nakutana na jeuri ya ajabu.sikuwa na simu inayorekod ila ntajitahidi hapa hata kwa kuazima ili nirekodi msikie tunavyojibiwa tunapotaka Masada.