Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laini yangu ya voda naweka mara moja kwenye simu kwa mwezi kama kuishtua tu, siweki vocha. Ni kama ya dharura tu. Wameshaniibia sana hawa fisi maji. Mtandao ni AIRTEL.
Ndio yaleyale mtu anaiba mnaishia kumtimua kazi badala ya kumshitaki.kwann uibiwe mkuu?km unaona unaibiwa c uhamie mtandao mwingine tu kuliko kupata presha.