Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Moderator chungulieni huku kuna customer care imeanzishwa kimyakimya,hii ni source ya income kama matangazo mengine
 
Last edited by a moderator:
Happy at last...hatimaye tatizo langu mmenitafutua ufumbuzi. Ila hapa hapa nilipo ni makao makuu ya wilaya ila ukitaka uchokozi uliza 3G ya voda, haipo kabisaaaaaa. Kuipata hadi uende shy au mwanza.Ila nashukuru mmenirudishia moody yangu ya mwaka, kwa kweli hii SIMU TV ilinipa hasira hasa hawa TBC
 
Hivi zile dakika 20 au 60 ambazo mlikuwa mnatupatia mwaka jana kwa kupiga *147*100# au *147*200# mwaka huu mbona sizipatia tena? Naomba jibu haraka kabla sijafanya maamuzi magumu kwa matumaini mapya.
 
Sijawaelewa nyie voda maeneo ya kigoma mjini tangu juzi ikifika saa nne ya asubuhi network upande wa internet unapotea na kurudi baada ya masaa manne au matano..tatizo ni nn na sie wengine tunakua tumeshanunua bundle na muda wa ku xpire hamuuongezi unabaki pale pale tu
 
Utakuta kifurushi kimekwisha muda wake mnanitumia sms zaidi ya moja sipendi kujaziwa ma sms meeengi
 
Nimejiunga kifurushi cha 250 halafu nimeongea na mtu dkk 5 tu mkalamba 1000 ambayo ilibaki baada ya kujiunga,hamnioni tena...
 
Vifurushi vyenu vinabana maisha ya mtanzania duni so bora tigo nikipita mitaa ya vyuo najiunga nasepa wiki sitafuti mtuu
 
Usiku najiunga na vifurushi hakifanikiwi kwa nini Ni week sasa. Nipo kahama bulungwa.
 
Back
Top Bottom