Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Nini tatizo tukusaidie!Vodacom muwe waangalifu tutaanza kuwakimbia muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini tatizo tukusaidie!Vodacom muwe waangalifu tutaanza kuwakimbia muda si mrefu
Vodacom muwe waangalifu tutaanza kuwakimbia muda si mrefu
Karibu Vodacom!!TAHARIFA = Taarifa
Ahsante kwa maoni,Ongea deilee na vodacom!!!Hamko serious na kazi zenu, makamba kisha hamishwa wizara lakini bado mnamwogopa
Endelea kuwa nasi.!Hakuna Hiyo kitu mbona Mi naletewa Ofa Maalum
Kwa nchi za wenzetu makampuni kula njama na kupanga bei ni kosa la jinai lenye adhabu ya kuifuta kampuni zilizohusika. Lakini hapa kwetu sisi ni vichwa vya wendawazimu ambapo baada ya kuwanunua waliopaswa kuisimamia haki wawekezaji wako huru kuwanyonya, kuwaibia na kuwanyanyasa wananchi wapendavyo! TCRA wanahangaika na kazi zisizo zao wala tija kwa watanzania!tuhamie wapi mana nachokiona owners wa hii mitandao wanakaa vikao vya kupanga bei za kuwanyonya watumiaji..thats why ukiangalia tigo mb 500 ni sh. 999 wakati voda mb 500 ni sh. 1000
Ata hapa kwetu ni kosa pia..sema Hawa jamaa wanaomiliki mitandao ni magient yaliyoshindikanaKwa nchi za wenzetu makampuni kula njama na kupanga bei ni kosa la jinai lenye adhabu ya kuifuta kampuni zilizohusika. Lakini hapa kwetu sisi ni vichwa vya wendawazimu ambapo baada ya kuwanunua waliopaswa kuisimamia haki wawekezaji wako huru kuwanyonya, kuwaibia na kuwanyanyasa wananchi wapendavyo! TCRA wanahangaika na kazi zisizo zao wala tija kwa watanzania!
Mb 300 zinasaidia nini boss au mnafikiri wote tunataka mb kwa ajili ya whatsapp na facebookAhsante kwa maoni yako,piga *149*01# kupata Mb being nafuu hadi Tsh.300.