Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaaaaaa! Unawaambia benki wakupe 9,998,500. Hiyo chenji wawape voda. [emoji28][emoji28][emoji28]Ha haaa vodacom kwa vitisho hawajambo. Nilikopa m-pawa nikalipa ikabaki kama 1500 hivi nikawa nasahau kulipa.nilipata msg matata kila siku..nitafikishwa mahakamani, nitazuiwa kukopa kwenye taasisi nyingine za kifedha..[emoji28][emoji28][emoji28]. Nikajiuliza hivi kweli deni la 1500 litanizuia nisipate mkopo wa 10m bank?
.
.
Dawa ya deni kulipa.
Sawa kabisa. Bank wanunue mkopo wangu wa vodaHahahahaaaaaaa! Unawaambia benki wakupe 9,998,500. Hiyo chenji wawape voda. [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app