Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Sasa we ulikopa ya nini

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Hee sasa Jf inahusikaje na lalamiko lako?uzi kuuleta humu members only ni kituko tosha
 
Dawa ya deni ni kulipa

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Ha haaa vodacom kwa vitisho hawajambo. Nilikopa m-pawa nikalipa ikabaki kama 1500 hivi nikawa nasahau kulipa.nilipata msg matata kila siku..nitafikishwa mahakamani, nitazuiwa kukopa kwenye taasisi nyingine za kifedha..[emoji28][emoji28][emoji28]. Nikajiuliza hivi kweli deni la 1500 litanizuia nisipate mkopo wa 10m bank?
.
.
Dawa ya deni kulipa.
 
Napenda kuuliza mbona huku Zanzibar hamtuletei line 4G za Voda com.?

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Ha haaa vodacom kwa vitisho hawajambo. Nilikopa m-pawa nikalipa ikabaki kama 1500 hivi nikawa nasahau kulipa.nilipata msg matata kila siku..nitafikishwa mahakamani, nitazuiwa kukopa kwenye taasisi nyingine za kifedha..[emoji28][emoji28][emoji28]. Nikajiuliza hivi kweli deni la 1500 litanizuia nisipate mkopo wa 10m bank?
.
.
Dawa ya deni kulipa.
Hahahahaaaaaaa! Unawaambia benki wakupe 9,998,500. Hiyo chenji wawape voda. [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaaaaaa! Unawaambia benki wakupe 9,998,500. Hiyo chenji wawape voda. [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app
Sawa kabisa. Bank wanunue mkopo wangu wa voda
 
Mnatubania sana kwenye bando, wakati mitandao mingine kifurushi cha sh 2,000 cha wiki wanatoa mb 70 hadi 90, nyie mnatoa mb 20 it is shame.

Angalia biashara ni ushindani ipo siku wateja wataopt kwenda kwenye nafuu. Mfano ni coca cola alikuwa anauza soda zake sh 700 wakati Pepsi anauza sh 500 akajizolea wateja kibao, imebidi coca cola arudi kwenye sh 500.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Vodacom nataka niwapeleke mahakamani kwa kunidanganya.

kifurushi cha SMS 5000 mkaniambia hakina kikomo kwa 1000, fanyeni haraka kunitatulia tatizo la huo wizi
 
Bando la mb 1 sjui mb 10.... Shamee

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi voda mbona kilaini changu hakikopi mpawa kina mwaka karibu 1 za wengine naona freshi 2
 
Back
Top Bottom