Mwanaginingi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 464
- 399
RUDI NYUMBANI KUMENOGAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ndugu yan nna credit ya elfu10 TTCL toka 2012 haijaexpire bado nasuiri line ya chuo niogelee hizo JB za kutosha.Nyumbani ndo mpango mzima tafuta line ya mwanachuo na hautajuta
Hata mimi wamenikera kweli nilikuwa napata GB 5 ck 30 kwa2000 now wamenibadilishia hawa machoko Vodacom Tanzaniawanaboa kweli yan last week nilijiunga cha buku 2 nikapata MB50024 nikanogewa kwelii asaa jana nataka nijiunge tena eti hakipo kipo cha buku unapata MB1024 nili laaaaani ila nilifurahi kishingo upande maaamae zao asa kwa nn wanaweka for some few days tu, watu wanataka freedom of data.
ha ha!Yajayo yanafurahisha