Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasenge sanaVodacom mmezingua kupunguza GB za Uni Offer..! Toka GB 4 mpaka GB 2
wameagizwa hivo na mabosi wao, voda wamekua wapuuzi sanaAlafu waambieni customer care wenu so kila tatizo analokua nalo Mteja lazima wasolve kama hawawezi wawe wanaomba msaada ngazi nyingine. Kuna watu majibu yao huwa hayaridhishi kabisa yaani yanakera sana
Vodacom Tanzania Vodacom Tanzania Vodacom Tanzania Mnanikera sana saaaana na mameseji yenu ya kufutiwa huduma yani kwa siku napokea msg zaidi ya kumi hebu kama mnafunga line mfunge msinichoshe mie yani bora hata zile Meseji za waganga kuliko huu upuuzi wenu
Hawa wenyewe washapunguza sana tuEh !! Ngoja nikachomoe line yao niweke Hallotel hawa kidogo bado wanaowoga !!