Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Alafu waambieni customer care wenu so kila tatizo analokua nalo Mteja lazima wasolve kama hawawezi wawe wanaomba msaada ngazi nyingine.

Kuna watu majibu yao huwa hayaridhishi kabisa yaani yanakera sana
 
Alafu waambieni customer care wenu so kila tatizo analokua nalo Mteja lazima wasolve kama hawawezi wawe wanaomba msaada ngazi nyingine. Kuna watu majibu yao huwa hayaridhishi kabisa yaani yanakera sana
wameagizwa hivo na mabosi wao, voda wamekua wapuuzi sana
 
Vodacom unapotaka kuongea na Huduma kwa wateja kupitia 100 hakuna sehemu yeyote kupitia 100 inayokuruhusu kuongea Moja kwa moja na Mtoa huduma kwa wateja jamani vipii ? !!!
 
Hii ni kweli kabisaaa hata na mimi imenitokea mara 2 tuhamie mitandaoingine hakuna usuluhu
 
Kwanini W-messages hazitoki na kuingia vizuri baadhi ya maeneo savei na chuo kikuu? Haki nakereka sana na siyo mara moja.

Nimekuwa na mtandao wa Voda TU tangia 2005, nafikiria kuhama maana huduma zinadumaa na bado gharama zenu ni juu.
 
Eh !! Ngoja nikachomoe line yao niweke Hallotel hawa kidogo bado wanaowoga !!
 
Hapa wateja ndo huwa tunauana.
Mwingine anaona imepungua mwingine anaona pako vizuri.

Mwisho wa siku provider anatusoma tu akitabasamu.
 
Voda wamechanganyikiwa sijui. Sasa unanipa 5MB nitumie kufanyia nn jamani dunia hii?? Wamenichoka
 
Nimeongeza salio lakini deni langu nililokuwa nalipa halijapungua yaan bado
 
Back
Top Bottom